Mpenzi ana mahusiano na Mtu mwingine

Mpenzi ana mahusiano na Mtu mwingine

sheria ya ndoa si ya mwaka uliotaja..samahani kwa kumpotosha,ni ya mwaka 1979

Ahsante kwa kunisahihisha, ila nimetumia neno nadhani kwenye andiko langu, ikimaanisha sikuwa na hakika, rudi usome vizuri dada nilichoandika.

Kama content ingekuwa wrong ungekuwa sahihi kusema kuwa napotosha, lakini kuhusu mwaka 2004 nimeandika kabisa nadhani, ni neno rahisi tu la kiswahili.
 
Wana JF,katika kipindi cha hivi karibuni nimegundua mpenzi wangu ana mahusiano na mtu mwingine japo wako mbali mmoja yupo Dar na Mwingine Arusha,hawa watu wanafamihamina kwa muda mrefu ,sina huakika kama wamewahi kuwa wapenzi ,ila nikwamba walipotezana na wamekuja kukutana Facebook,ndo message za dear,sweet,bby,umekula nini dear,n.k zimeanza.

Nilianza kuhisi kitu ,maana mwenzangu mwanzo alikuwa hana wasiwasi anapokuwa fb,lakina sasa amekuwa akikakaa na cmu yake muda wote,na ukiingia chumbani au sebuleni anapokuwa anachat anashutuka na kufunga page ,mara ata ongea hivi mala vile au ajifanye alikuwa anacheza game n.k.

Baada ya kuona hivyo niliamua kufuatilia na nilibaatika kuingia kwenye chat zake ndo nikaona hizo chat ,na kuanzia hapo nimekuwa nazifuatilia kila wanapo chat,Sijamwambia chochote na nilitaka nipate details za kutosha maana hisia siyo nzuri hasa ikitokea kuwa hazina ukweli wowote.

Ningependa kupata ushauri wenu..
1.Je nisahii kufutila chat za mpenzi wako unapoona mambo yake yana utata..na ukagundua ni kweli ?
2.Je nimwambie au nisubiri wandelee na mipango yao ya kupanda Fast Jet wakati ukiwadia ndo niwakamate maana kwa sasa wako mabali?
3.Je mpenzi wangu hakijua nimeweza kutrace chat zake itakuwaje japo ndo nimeshajua ukweli,Je atajitete kuwa wanachat tu na hakuna kitu kinaweza kutokea kwa kuwa woko mabli?

Naomba Ushauri wenu kwa kuzingatia tunafamilia ya mtoto mmoja.



Sikia mkuu kintu, hapa amani imekwisha na trust pia. Jaribu kufikiria hivi, kama ni wewe una mpenzi nje ya ndoa yako then unamficha mkeo kwa kuwa na mashaka naye kila unapoongea na simu, unafikiri ni jambo zuri hili? Na kwa nini umfiche mkeo? Jibu ni kwa sababu una cheat na unajuwa si sawa uyafanyayo, maana usinge cheat usingefanya hivyo, au siyo? Hapa wataanza hivi hivi kisha jamaa atafunga safari kuja Dar aje kujilia kitumbua bila huruma. Cha kufanya hapa, mkanye mkeo na kama hajirekebishi tupilia mbali kwani asije kukuletea maradhi. Ni bora kuepukana/kujikinga na maradhi kabla hayajakupata.
 
Pole sana kwa maswahibu uliyonayo.


Tafuta muda muafaka tena ukiwa umetulia akili, ongea na mwenzio juu ya mwenendo wake mwisho wake utapata majibu yanayofaa na mtarudi katika hali yenu ya mwanzo. Maisha ya ndoa yana mlolongo mrefu. Siyo mepesi kama wengi wanavyodhania.

Inaonyesha mnaishi kinyumba lakini hamna ndoa. Inawezekana ameanza kuchoka maisha bila ndoa, angalia tatizo liko wapi ili muanze upya.
 
Wana JF,katika kipindi cha hivi karibuni nimegundua mpenzi wangu ana mahusiano na mtu mwingine japo wako mbali mmoja yupo Dar na Mwingine Arusha,hawa watu wanafamihamina kwa muda mrefu ,sina huakika kama wamewahi kuwa wapenzi ,ila nikwamba walipotezana na wamekuja kukutana Facebook,ndo message za dear,sweet,bby,umekula nini dear,n.k zimeanza.

Nilianza kuhisi kitu ,maana mwenzangu mwanzo alikuwa hana wasiwasi anapokuwa fb,lakina sasa amekuwa akikakaa na cmu yake muda wote,na ukiingia chumbani au sebuleni anapokuwa anachat anashutuka na kufunga page ,mara ata ongea hivi mala vile au ajifanye alikuwa anacheza game n.k.

Baada ya kuona hivyo niliamua kufuatilia na nilibaatika kuingia kwenye chat zake ndo nikaona hizo chat ,na kuanzia hapo nimekuwa nazifuatilia kila wanapo chat,Sijamwambia chochote na nilitaka nipate details za kutosha maana hisia siyo nzuri hasa ikitokea kuwa hazina ukweli wowote.

Ningependa kupata ushauri wenu..
1.Je nisahii kufutila chat za mpenzi wako unapoona mambo yake yana utata..na ukagundua ni kweli ?
2.Je nimwambie au nisubiri wandelee na mipango yao ya kupanda Fast Jet wakati ukiwadia ndo niwakamate maana kwa sasa wako mabali?
3.Je mpenzi wangu hakijua nimeweza kutrace chat zake itakuwaje japo ndo nimeshajua ukweli,Je atajitete kuwa wanachat tu na hakuna kitu kinaweza kutokea kwa kuwa woko mabli?

Naomba Ushauri wenu kwa kuzingatia tunafamilia ya mtoto mmoja.

Tatizo nilionalo mimi huyo ni mpenzi wako na wala wewe si mpenzi wake, na ndio maana umegundua kuna dalili za kurudisha penzi kwa mpenzi wake. Swala la mapenzi ni gumu hasa ktk ushauri, ushauri wangu jaribu kutafuta chanzo kwanini arudi huko. Yawezekana kabisa ukawa ni chanzo bila kujielewa. Hii itakusaidia kufanya maamuzi na hata ikawa ngumu kuwekana sawa na ikalazimu kutengana au kuachana, haitakuwa mwisho wa maisha yako katika mapenzi, Itakusaidia kuimarisha na kupunguza makosa
 
Back
Top Bottom