Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Ela ni nyingi na mkopo wa muda mrefu,Anza upya mkuu pesa kitu gani...tafuta pesaa!
Mazingira ya biashara kwao ndo kulikuwa na biashara kwa kuwa wahitaji ni wengi kuliko nilipo.ilitakiwa hiyo biashara ufungue wewe yeye akae hapo kama chawa tu
Sasa kwakua umemzalisha Kausha achana nae akapambane na mtaa na sisi huku hatuoi singo maza
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.
Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba.
Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .
Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,
NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.
Ata yeye anakili kwa dhambi aliyoifanya astaili kuolewa na mimi,Sasa unakaaje na mtu kama huyo?
Mwache aende salama.
Ipo siku atakuja huku kapiga magoti kipindi hicho ushafunga safina
Achana nae usije ukabanwa kengele mkuu
Anza upya mkuu pesa kitu gani...tafuta pesaa!
ilitakiwa hiyo biashara ufungue wewe yeye akae hapo kama chawa tu
Sasa kwakua umemzalisha Kausha achana nae akapambane na mtaa na sisi huku hatuoi singo maza
Sasa unakaaje na mtu kama huyo?
Mwache aende salama.
Ipo siku atakuja huku kapiga magoti kipindi hicho ushafunga safina
machungu ni yale yale NMB, CRDB,AZANIA...Kwani kipindi unakopa hukufikiria kuna makato...3rd LAW OF MOTION itafaa kutoa motivation next tym utakua makini.Hivi nyie mabaharia mnaujua uchungu wa kila mwisho wa mwezi kuiangalia salary slip yenye makato ya NMB?
Na wewe Ndara Mbovu kwani humu ndani si tulishasema MSIOE?
Hivi lini mtasikia na kuelewa hili....
Msioe MTAKUFA MAPEMA NYIE WATU..
#YNWA
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.
Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba. Na ela kidogo iliyobaki anafanyia biashara .
Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .
Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,
NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.
Hao watoto uliomzalisha utafananisha na mkopo wa Benki? ingekuwa kazalishwa na wenzako ndio ingekuuma.Ela ni nyingi na mkopo wa muda mrefu,
Nilipanga tufanye biashara turudishe mkopo then faida ndo aendelee nayo, sasa nikikumbuka makato ya banki ndo naumwa kichwa.
Hao watoto wawili angewapataje? Malipo hayo tosha, kuzaa sio mchezo hebu naye Muumba ambebeshe mimba huyo dime halafu ajifungue alinganishe na huo mkopoHivi nyie mabaharia mnaujua uchungu wa kila mwisho wa mwezi kuiangalia salary slip yenye makato ya NMB?
Na wewe Ndara Mbovu kwani humu ndani si tulishasema MSIOE?
Hivi lini mtasikia na kuelewa hili....
Msioe MTAKUFA MAPEMA NYIE WATU..
#YNWA
Sio kwamba nilimsaliti bali kwamba tuliachana na nikawa na mtu mwingine ku buy time, then tukarudiana.Safi sana.
Umesema ulimpatia pesa, sasa kakudhulumu vipi? Au ndio kuvurugwa!!
Endeleeni kujidanganya kuwa huwa tunasamehe usaliti wenu, ni mahesabu tu huwa tunapiga ya mbali.