Mpenz wangu hanijali

Mpenz wangu hanijali

Kuwa busy muda wote ni jibu tosha chukua chali mapema
 
Hii kasi ya maombi ya PM ni ya 'heri' ama ya 'shari' ama ni forum mpya ya usahuri!
 
pole..ila pia angalia usijekuwa ulikuwa wa matumizi mengi .....maaana siku izi wanaume tucalculate sana .....kwa upande wa "matumizi" ulikuwaje ....samahan kwa swali hilo..........
 
Ukiona manyoya................. kimbia dada hapo huna chako!
 
Mie kwa kweli kwenye issue za mapenzi siumizagi kichwa. I have zero tolerance for games in the name of love.

Hahah...utawapotezea wangapi jirani? Kila shetani huwa na mbuyu wake .
 
Hii sikukuu ya valentino vimbwanga vitazidi vya mrembo wa Afrika aliyekimbiwa na chovyachovya.
 
But for how long?

Mi ningeuchuna for as long as it takes na ninge date mtu mwingine kama candidate wa maana akitokea. Sasa huyu mtu wa namna hii unamtafutia nini? Kwani hajui namba yako? He just doesn't want to talk to her anymore all in the name of being busy... who isnt?! Ningempotezea mazima
 
Nashukuruni kwa ushauri wadau...nitaufanyia kazi.kwa wale wanaotaka pm cdhani kama wana lengo zuri coz kama ni ushauri wangeuanika tu hapa.thanks a lot, be blessed !
 
Back
Top Bottom