mmmmh, wanawake sie sijui tunataka nini! akikaripiwa pia atalalamika siku hizi unanikaripia hunipendi. lol
Sisi wa kwa akina Mwita, Chacha, Marwa, Wambura, Mwikwabe, Robhi, Gati na Wankuru, bila kipondo cha nguvu angalao mara 2 kwa wiki haturidhiki kuwa tunapendwa. Ndiyo maana hata wakati wa ndoa huwa mwanaume anakabidhiwa rungu na sime ya "kudumishia ndoa"
Yaani!!!! We acha tu!! Juzi kuna mwingine alianzisha uzi mpenziwe hapekui simu yake!!! Pamoja na kuiacha simu yake chumbani makusudi ili aipekue na kutumia namba tofauti kujipigia wakati simu iko chumbani na mupenzi jamaa hakuigusa. Hivyo binti akaja hapa kulalama na eti kuomba ushauri!!!!
ha haaa, haya yalitokea kwa mdogo wangu....Ongeza lugha ya ukali kidogo pale anapokukosea badala ya kuwa polite vinginevyo anaweza kuingia mitini kisa tu, "Mpenzi wangu ni mpole kupita kiasi hata nikimkosea hanigombezi nimeamua kuachana naye."
malalamishi mengine sasa yamepitiliza.....Yaani!!!! We acha tu!! Juzi kuna mwingine alianzisha uzi mpenziwe hapekui simu yake!!! Pamoja na kuiacha simu yake chumbani makusudi ili aipekue na kutumia namba tofauti kujipigia wakati simu iko chumbani na mupenzi jamaa hakuigusa. Hivyo binti akaja hapa kulalama na eti kuomba ushauri!!!!
mmmmh, wanawake sie sijui tunataka nini! akikaripiwa pia atalalamika siku hizi unanikaripia hunipendi. lol
Mbona na wewe unapenda halafu hujishangai..??mmh jamani kuna watu wanapenda kadhia looh
Sisi wa kwa akina Mwita, Chacha, Marwa, Wambura, Mwikwabe, Robhi, Gati na Wankuru, bila kipondo cha nguvu angalao mara 2 kwa wiki haturidhiki kuwa tunapendwa. Ndiyo maana hata wakati wa ndoa huwa mwanaume anakabidhiwa rungu na sime ya "kudumishia ndoa"
ha haaa, haya yalitokea kwa mdogo wangu....
alimwacha mtu kisa ni mpole sana. akasema anataka akiolewa ndani kujulikane nani baba, lol!
lol, sijui wanawapata wapi wapenzi wa hivyo mi nahitaji watatu. lol,
Yaani!!!! We acha tu!! Juzi kuna mwingine alianzisha uzi mpenziwe hapekui simu yake!!! Pamoja na kuiacha simu yake chumbani makusudi ili aipekue na kutumia namba tofauti kujipigia wakati simu iko chumbani na mupenzi jamaa hakuigusa. Hivyo binti akaja hapa kulalama na eti kuomba ushauri!!!!
Mbona na wewe unapenda halafu hujishangai..??
Wasalaam wanaJf.
Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.
Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.
Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.
Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.
Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje
hahaaaaaa naikumbuka hii lol!!!!!!wengine sim ikishikwa tu
unaanza kuwaza na kuwazua..........JF raha aisee........
btw mbona ulisahau kuchange font na size ya maneno lol!!!maana nikionaga tu najua huyu BAK
labda nikuulize, unapomkosea mpenzi wako hujui kama umemkosea?Hapana Husninyo wanawake tunataka kupendwa,kuheshimiwa na zaidi ya yote kujaliwa..(jibu la swali tunataka nini)
Ila kweli mwenyewe napenda mwanaume awe kiume,yani awe na say,si ila itu kwake sawa tu yana hata ha question,pale nimekosea yani aoneshe kumindi na kufoka kidogo lakini si sana lakini MWIKO KUNIPIGA.
Kwahiyo si anakua mpolee mpaka anaboa sasa,nikikosea aniseme kidogo na si ila kitu yeye sawa,Baby twende movie anakubali hata kama hana hela yani ashindwe hata kusema Baby kwasas mambo hayapo sawa aogope kunikwaza,anatakiwa awe na say japo asiwe mbabe full mangumi na unisema hata mbele za watu....
Wasalaam wanaJf.
Npo kwenye mahusiano na msichana kwa takriban mwaka mzima.
Kiukwel mimi napenda sana polite language and kindness sio kwa mpenz wangu tu hata kwa watu wengine.
Napenda sana kufanya kitu ambacho nikifanyiwa sitaumia na huwa nachukia sana lugha ya ukari na sipend kuitumia hasa kwa mpenz wangu.
Tumekuwa tukikwazana na mpenz wangu lakin mara zote huwa naongea nae kwa upole na upendo na mambo uisha vzri.
Ni kama mara mbili au tatu mpenz wangu amekuwa akiniomba seriously kuwa angalau nimgombeze siku moja akinikosea na atajìsikia raha na kuona nampenda sana.
Kiukwel mimi sipend na siwez. je, nifanyeje
hehheeee!!atakua alizoea
wanaume wenye gubu,we mgombeze
tu asije kukumwaga bure!!