Huyo mkurya?
Zipo aina hiyo za personality za watu wanaopenda kuwa controlled. She may be one of them.
Huyo anaona ukiwa mpole ni kama uko weak na subconciously anahisi kuwa you lack the capacity to protect her. Katika species nyingi including homo sapiens males huwa na role ya kuprotect females. Mwenzio anahisi role hiyo itakapotokea kuifullfil hutaweza.
Ushauri: Hakuna mtu anayependa kugombezwa kila mara. Kama umeamua kuanza kuwa unamgombeza, pima kiwango kinachofaa cha kumgopmbeza. Usizidishe...
Ongeza lugha ya ukali kidogo pale anapokukosea badala ya kuwa polite vinginevyo anaweza kuingia mitini kisa tu, "Mpenzi wangu ni mpole kupita kiasi hata nikimkosea hanigombezi nimeamua kuachana naye."

Ha ha ha. Imenibd kucheka kidogo kwa kwel. Kumbe "kugombezwa" ni kpimo cha upendo siku hz? Anyway, inabid bas mara moja moja 'pale inapobid' uwe unamgombeza. Nadhan huw unajpooza kwanza kabla hujaongea. Bas ili kumridhisha inabid ucsubir had upoe, unamporomokea hvyohvyo mzee. Ingawa mmmmh, waweza kuwa mbogo (kama una hasira sana), ila sio mbayyya. C "anahitaji" banaaa
Huyo mkurya?
Zipo aina hiyo za personality za watu wanaopenda kuwa controlled. She may be one of them.
Huyo anaona ukiwa mpole ni kama uko weak na subconciously anahisi kuwa you lack the capacity to protect her. Katika species nyingi including homo sapiens males huwa na role ya kuprotect females. Mwenzio anahisi role hiyo itakapotokea kuifullfil hutaweza.
Ushauri: Hakuna mtu anayependa kugombezwa kila mara. Kama umeamua kuanza kuwa unamgombeza, pima kiwango kinachofaa cha kumgopmbeza. Usizidishe...
Ongeza lugha ya ukali kidogo pale anapokukosea badala ya kuwa polite vinginevyo anaweza kuingia mitini kisa tu, "Mpenzi wangu ni mpole kupita kiasi hata nikimkosea hanigombezi nimeamua kuachana naye."
Hahahahahahaaaaaaaaa lakini mbona wewe mchokozi sana jamani, ina maana kila anaetaka agombezwe ni mkurya? any way mwanaume mpoleee sana nae ni kero.
Sisi wa kwa akina Mwita, Chacha, Marwa, Wambura, Mwikwabe, Robhi, Gati na Wankuru, bila kipondo cha nguvu angalao mara 2 kwa wiki haturidhiki kuwa tunapendwa. Ndiyo maana hata wakati wa ndoa huwa mwanaume anakabidhiwa rungu na sime ya "kudumishia ndoa"mmmmh, wanawake sie sijui tunataka nini! akikaripiwa pia atalalamika siku hizi unanikaripia hunipendi. lol
Sisi wa kwa akina Mwita, Chacha, Marwa, Wambura, Mwikwabe, Robhi, Gati na Wankuru, bila kipondo cha nguvu angalao mara 2 kwa wiki haturidhiki kuwa tunapendwa. Ndiyo maana hata wakati wa ndoa huwa mwanaume anakabidhiwa rungu na sime ya "kudumishia ndoa"