Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 343
- 407
Alienda kuonana na uongozi wa chuo wakamwambia hayo. Mambo au ni bange zake tu kuhisi mambo asiyoyafahamu?!Habari wadau....
yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza
anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.
Akikujibu nitag pleaseUfaulu wake upoje kwanza tuanze hapo
Nahisi kachanganyikiwa tu.Alienda kuonana na uongozi wa chuo wakamwambia hayo. Mambo au ni bange zake tu kuhisi mambo asiyoyafahamu?!
Alipiga PCB kapata div II ya point 10 na pia kakosa chuo.Ufaulu wake upoje kwanza tuanze hapo
Muache ajiuwe tupo watanzania 60m.
So mtoe kwenywe hiyo hesabu tutabak 59999999...
R.I.P kwake
Akijaribu tu kabla hajamaliza azima yake tunamdaka na kumuokoa atashtakiwa na lazima aende Jela, Hatuwezi kubaki wenyewe tuhangaike peke yetu!??Muache ajiuwe tupo watanzania 60m.
So mtoe kwenywe hiyo hesabu tutabak 59999999...
R.I.P kwake
Tunamwambia tatizo anakaza anatomy (fuvu)Shida sio bam Apo Wala nn tatizo ni competition ya hyo kitu na vyuo anavyo apply abadili tu coz maana hiyo ktu competition yake sio poa
Siyo lazima kusomea udaktari.Habari wadau....
yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza
anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.
Hapo nahisi hasubiri mwakani hakuna jinsi.Ubaya round zote za ku apply undergraduate au degreee imesha na dirisha lishafungwa
ππππ ππππππππ ππ€£ππππMuache ajiuwe tupo watanzania 60m.
So mtoe kwenywe hiyo hesabu tutabak 59999999...
R.I.P kwake
Umenena kaka maana hawa vijana wanahisi wakisoma PCB ni udaktari tu kumbe kuna course nyingine nzuri ambazo zinakufanya uvute mpunga mrefuSiyo lazima kusomea udaktari.
Kiongozi sio mimi ni jamaa yangu .Kwani ukisema ni wewe utabadilika nini?