Emb tulia wewe mzee. Kwa hiyo hata yule dogo wa Yohana university tungemuacha tuu kwakuwa tunatakiwa kumpa muda? Nikueleze tu kuwa ambaye "Sipangiwi" ameshaondoka zake. Kilichobaki ni wewe kubadili mtindo wa ngoma la sivyo sonona itakuondoa.
Na Slaa anarudi keshokutwa bongo.