Hakipo, Basi kaenda likizoMbona bado...JPM ni mstari...wengi hata hamjui kilichotokea...
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).
Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
"Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025..."Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).
Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
Ha ha ha ha, Chief inaonekana mzee kakuvuruga.Tuondolee upumbavu wako!!!!
Mbona bado...JPM ni mstari...wengi hata hamjui kilichotokea...
Ha ha ha ha, Chief inaonekana mzee kakuvuruga.
Kama unaona Mzee mwanakijiji kaandika upumbavu basi wewe ni taahiraTuondolee upumbavu wako!!!!
hili lakujaribu kumdhoofisha ndo hatukubali kabisa tutapaza sauti hadi afanikiweSijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).
Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
NdiyoWewe ndio maana mods walikupiga ban!
Kwahiyo unataka Samia ateue kwa matakwa yako?
Waambie hao JPM kaacha legacy, hakuna wanachoweza fanya kuifuta.Mbona bado...JPM ni mstari...wengi hata hamjui kilichotokea...
Kuna jamaa akuanzishia uzi kuwa umekimbia jukwaaSijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).
Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
Mbona umevimba??Mzee chutama ustiri hata robo ya heshima uliyobakia nayo mbele ya wapuuzi wenzio.
Ulikua mpiga mbeta kwa mambo ya kipuuzi kwa Magufuli usimtake Samia awe kama huyo mwendazake.
Tulia zama zimebadilika huo u magufuli-Samia haupo naona unajilazimisha sana hii nchi sio ya kifalme au kifamilia kwamba Samia karithi hizo elements zenu za kishenzi.
Mzee Mwanakijiji sijui utaniambia nini nikueleweSijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).