Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 280
[emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali hata sijafumba macho.
Hakika, shukran mkuuNadhani hili linapaswa kuangaliwa na jinsia zote yaani wanaume na wanawake.
Kiukweli Kuna baadhi ya mienendo na matendo tunayoyafanya hayaendani na utu wala taratibu zetu za kijamii
Mabadiliko chanya yanahitajika ili kuboresha na kustawisha jamii yetu
Nyie kina mama pia muwafundishe watoto wenu wa kike maadali mema.Hayaaa wanaumee hasa wenyee watoto wa kike mnaitwaaa huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa mwanaume mwenzangu,
Hapo ulipo hebu fumba macho. Baada ya hapo vuta picha umebarikiwa kuwa na mtoto wa kike tayari.
Vuta picha mwanao yupo katika mahusiano na mwanaume mwenye tabia kama zako.
Je hapo ulipo unatabasam kwa kumpata mtu sahihi? Bila shaka ni HAPANA, Kama ndivyo basi ni wakati wako WAKUBADILIKA. Tabia chafu na mbaya hazikupeleki popote.View attachment 2452560
Sawa mkuu, vyovyote vile muhimu ujumbe ufike
Kwa kweli mim mtoto angu akipata mwanaume mwenye tabia kama za baba ake ntashukuru sana.Mpendwa mwanaume mwenzangu,