Mpende sana mkeo, la sivyo...

Si ajabu ndugu muandishi nae mke wake watu wanamliwaza.

Lakini ni maajabu jitu moja liwafariji wanawake kumi wenye kukosa furaha ya muda tu kwenye ndoa yao eti aweze kuwafariji wote hawa nao wamfurahie.

Ni miujiza pekee wanawake wasaliti kupangwa kwenye foleni ya uchepukaji.

Inasikitisha kusikia bingwa la kufariji midebwedo anashindwa kummiliki mke wake wa halali ndani ya nyumba yake.
 
Sijakuibia mkeo, nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? Nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na anaendelea vizuri.

Unakumbuka kipindi kile unamdharau na kumpuuza? Aliniambia kuhusu hilo; nilijitolea kumpa muda wangu alipokuwa anahitaji kampani, nilimpa sikio langu kumsikiliza, nilimpa bega langu alipohitaji kulia na kifua changu kumfariji.

Pale ulipohisi atakufuatilia na mambo yako sisi tulikuwa bize kufurahia kampani ya kila mmoja wetu, na wewe ulikuwa mtu wa mwisho katika fikra zetu. Hivi unajua kila ulivyozidi kuumiza hisia zake ndivyo ulivyozidi kumsogeza mikononi mwangu?

Ulipodhani hatolala usiku kukuwaza na kukufikiria nilihakikisha analala bila moyo uliovunjika na kupondeka kwa kumuhadithia hadithi tamu na kumuimbia nyimbo nzuri za mapenzi.

Hivi ulidhani anakosa amani na furaha kulialia kila saa kwa ajili yako? Hapana nilikuwa mbunifu kwa kuhakikisha anacheka na kufurahia maisha muda wote kwa ajili yake niligeuka comedian na alikuwa ni fan wangu no1.

Endelea kumchukulia mkeo kama takataka sisi hatuna kinyaa tutamuokota tatamsafisha na kumpa thamani. Wengine tuna mioyo ya kike tukipenda tunapenda kweli.
we marinda yako kwenye utayari tu
 
Wasalimie masela wa iyunga mitaa ya inyala
Hahahaha umenikumbusha mbali sana mkuu ingawa naishi Dar lkn hiyo ni mitaa yangu aisee,two weeks ago nilikuwa huko kuna baridi ya kufa mtu mkuu
 
Ukiniambia maneno hayo wakati umenikosea kwa kutembea na mke wangu ambapo ni kinyume cha sheria za dini na serikali, Wallahi nakuua mchana kweupe halafu natangulia mwenyewe mahakamani hata polisi sipitii
 
mwamwala iyunga,

Labda umefanya linalokufaa lakini kama unafikiri kuchukua mke wa mtu ni ushujaa ujue unaemuumiza ni huyo unaefikiri unamliwaza maana siku akijua kuwa ni msaliti wa ndoa yake na kujuta labda utakuwa umemsaidia kweli.

Lingine ni kuwa siku unayemkoga hapa akikukamata unajua atakavokufanya ujifunze kuwa wake za watu sumu maana ninalofahamu siku hiyo utaolewa tu na kuwa mke mwenza wa huyo mama.

Lakini hautakuwa na tabu sana maana umeshaeleza kuwa tayari Una viashiria vya kike. Kwa Ivo Endelea tu.
Huu ujumbe umekugusa sana wewe mrembo endelea kumtesa mkeo utakaziwa tu hakuna namna
 
Ukiniambia maneno hayo wakati umenikosea kwa kutembea na mke wangu ambapo ni kinyume cha sheria za dini na serikali, Wallahi nakuua mchana kweupe halafu natangulia mwenyewe mahakamani hata polisi sipitii
Hahahaha kukaziwa kunauma sana aisee pole sana mkuu
 
Hahahaha yaani wengi imewauma sana kuchukuliwa wake zenu,kumbe mnatesa wake zenu!!?? Ndiyo muache sasa km inauma.....
 
Hahahaha umenikumbusha mbali sana mkuu ingawa naishi Dar lkn hiyo ni mitaa yangu aisee,two weeks ago nilikuwa huko kuna baridi ya kufa mtu mkuu
poa mkuu namimi inyala ndio nipo zaliwa maskan ni hapo kituo cha afya iyunga ila namimi now nipo dr! co nilivyo ona unaitwa iyunga nikajua uyu wa nyumban mkuu
 
Yan kila siku tuwapende wao tuuuuuuuu..njoon na mada nyingne...yan nipoteze muda wangu kumridhisha yeye kila siku....yeye vip
Ndio kazi yako hio mkuu

" kumpenda siku zote za maisha yako hadi kifo kitakapowatenganisha "
 
poa mkuu namimi inyala ndio nipo zaliwa maskan ni hapo kituo cha afya iyunga ila namimi now nipo dr! co nilivyo ona unaitwa iyunga nikajua uyu wa nyumban mkuu
Ok kumbe wewe ni wa home kabisa aisee safi sana mkuu
 
Kati ya watu nawapenda, kuwaheshimu na kuwathamini duniani ni mke wangu aisee. Akihuzunika tu kidogo nakosa amani kabisaa.
Mungu akubariki kwa hilo na kamwe baraka hazitopungua kwako Yesu ukutunze na kukulinda daima wewe pamoja na familia yako brooo nakufurahia japo sikufahamau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom