Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!



Kwa hiyo na sisi tuwachukulie hivi..
 

Sio fikra mfu ndio dalili zenyewe hizo unafikiri hao walianza vuguvugu LA kuhalalisha ndoa za jinsia moja walianza kwa kuona mabaya kuhusu jinsia ya pili.
 
Na kila aliefanikiwa maishani hakuwahi kumwamini mwanamke kamwe

Kila alie mwamini mwanamke duniani alifeli pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada uaminifu na mapenzi ni mambo yanayienda sambamba

Huwezi kumpenda mtu bila kupitia stage ya kumuamini

Mbona wapo pia wanaume wanapewa huduma stahiki na wanawake zao na still wanasaliti? Hilo hujaliona sio? Tuache tupumue jamani!

Madame S
Kwani mwanaume aliumbiwa mke mmoja[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata baba yako katu hakumwamini mama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumwamini mwanamke katika mahusiano hata ya Huko awali na yeyote sitomwamini japo ninampenda.
Ukimpenda Sana ni tatizo, na usipompenda sana pia tatizo so bora lipi?
Hakika kwa mtazamo huu, itakuwa ni ngumu sana kwako kufanikiwa ktk nyanja ya mapenzi.
 
Mwanamke anawika 20 to 37..baada ya hapo ni kama dekio tu[emoji12]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…