Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

Tatizo nyie mabishoo mnachanganya msichana na mwanamke, we baba yako asingemuamini mama yako leo ungeandika huu uzi? come on kama kamekusaliti kasichana kako usifananishe wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Baba yako akimwamini sana mkewe ipo siku yatamkuta hata uzeeni. kuzaa haimaanishi anaaminika aliezaa.
 
Mtoa mada uaminifu na mapenzi ni mambo yanayienda sambamba

Huwezi kumpenda mtu bila kupitia stage ya kumuamini

Mbona wapo pia wanaume wanapewa huduma stahiki na wanawake zao na still wanasaliti? Hilo hujaliona sio? Tuache tupumue jamani!

Madame S


anafurahisha genge tu !usiombee usaliti wa mwanaume
 
nikiziona sms za demu wangu nliyemtoa bikra nabaki nacheka tuu yaniii,,
 

Kutomwamini katika lipi sasa mapenzi, mali,au kitu gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…