Mpende msipende, Jerry Murro anafaa kuwa msemaji wa CCM kumrithi Humphrey Polepole

Nimeisoma yote na nimeipenda!

Sijawahi Polepole kama Mwenezi wangu.

Anakizeesha na kukipoza Chama kama Sura yake ilivyo.

Anafaa kufundisha vyuoni au kuwa padri,amekaa kitakatifu takatifu.
 
Back
Top Bottom