Mpende akupendaye

Mpende akupendaye

Mahusiano Ya Kimapenzi Ama Ndoa Hayatabiriki. Wapo Akina Flora Mbasha Walitunga Nyimbo Kusifia Ndoa Zao Lkn kilicho kuja kutokea nyote mnakijua.

Shetani Wa Mapenzi Ni Nouma.
Kinachokutokea Leo kwe ndoa siyo guaranteed
 
Namshukuru Mungu kila wakati kwa huyu niliyenaye,ananifanya niione dunia sehemu salama kuliko hapo kabla...ndio maana narudisha fadhila kwake kwa kumpenda zaidi.

I will love you with all of my heart and I will give you everything I am for the rest of our lives together
cc The bold
Nakupenda zaidi mama!
You make this whole life worth living..

Wewe unajua jinsi umefanya nione haya maisha katika angle nyingine kabisa ambayo sikuwai kufikiri..
Ndio maana namshukuru Mungu kila siku for the day you said Yes to me baada ya kukupigia misele mingi sana.. [emoji12]

You are an angel!
You are simply the best i never had! And this is forever.. God will help us

Nakupenda sana cheupe wangu [emoji4]
 
Mwanaume ni muhimu lazima ulazimishe upendo kwa mwanamke ndo mana tunatongoza ila mwanamke akilazimisha upendo kwa mwanaume ndo kituko kinapoanzia
 
Tatizo la Upendo Ukiulazimisha unakuwa unajidanganya mwenyewe!
Upendo ambao ni rahisi kuOffer ni wa kirafiki, ila ule ambao hadi kwichi kwichi.. huwa unakuja wenyewe.
Jamaa uko sahihi kabisa..mi nikishaona dalili za kama kulazimisha huwa najiweka pembeni mapema!
 
Jamaa uko sahihi kabisa..mi nikishaona dalili za kama kulazimisha huwa najiweka pembeni mapema!

Kuliko kujiumiza bora kujiweka kando. Huwa natumia pia hii njia ya kuepuka msongamano kwa kujiweka pembeni. Inauma lakni ina heshima yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom