Mpende akupendaye

Mpende akupendaye

Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao
Daah, inanisikitisha sana
Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab
Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi
Urudishe izo fadhira kwake same au zaid ,na sio kumnyanyasa
Na kumfanyia mambo ya ajabu
Atakuja kuchoka na ukamkosa, af umpate fundi mwenzako
Af ndo utakuja kujua kwanini taulo linachafuka na umetoka kuoga
Damn...
Kulipa fadhila kwa mwanamke sio sifa ya MWANAUME..!
 
Namshukuru Mungu kila wakati kwa huyu niliyenaye,ananifanya niione dunia sehemu salama kuliko hapo kabla...ndio maana narudisha fadhila kwake kwa kumpenda zaidi.

I will love you with all of my heart and I will give you everything I am for the rest of our lives together
cc The bold
 
Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao
Daah, inanisikitisha sana
Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab
Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi
Urudishe izo fadhira kwake same au zaid ,na sio kumnyanyasa
Na kumfanyia mambo ya ajabu
Atakuja kuchoka na ukamkosa, af umpate fundi mwenzako
Af ndo utakuja kujua kwanini taulo linachafuka na umetoka kuoga
Damn...
Yeah nikweli kabisa ulichoandika mkuu maana moyo mwisho wa siku huwa unachoka unapoona hauthaminiwi.....!!!
 
Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao
Daah, inanisikitisha sana
Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab
Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi
Urudishe izo fadhira kwake same au zaid ,na sio kumnyanyasa
Na kumfanyia mambo ya ajabu
Atakuja kuchoka na ukamkosa, af umpate fundi mwenzako
Af ndo utakuja kujua kwanini taulo linachafuka na umetoka kuoga
Damn...
Najua unachosema nabkumaanisha kwa vitendo,
Nimepitia hili,nimeouuzwa,na kudharilisha,na kutukanwa na kusiginwa sana na niliyempenda na kujitoa kwa ajili yake,miaka mingi,misamaha yangu ilifanya thamani ya utu wangu ipotee,
Imefika muda nimegeza shingo,
Akina mama tulieni basi hata kidogo dunia ipone,maana mnaiangamiza dunia kwa ufahamu mdogo tamaa na gubu,
 
Mm namshukuru Mungu angalau niliyenaye huwa anatambua upendo wangu na jinsi ninavyomjali. Huwa anajisemea kamwe hawezi kulipa zaidi ya kusema asante.
Mshukuru Mungu,tatizo ni je hyo hali itadumu milele,maana wenzako tulipitia hivo mpaka tukajisahau lkn mambo yakageka vvvvupp chali
 
Aisee kwakweli nnafarijika sana mkuu
Km huyo anaekutendea hivo hamjui Mungu hili ni timing bomb litalipuka muda ukifika
Haraka kabisa mfanye amjue Mungu na kumtumikia ili kulinda upendo wa asili alonao
 
Uyasemayo ni kweli ila smtyms unakuta mtu anakupenda na kukuganda ila huna hata feelings nae, unalizimisha kuvuta stimu lakin wapii moyo unagoma.
Mi ishanitokea sana tu
 
Namshukuru Mungu kila wakati kwa huyu niliyenaye,ananifanya niione dunia sehemu salama kuliko hapo kabla...ndio maana narudisha fadhila kwake kwa kumpenda zaidi.

I will love you with all of my heart and I will give you everything I am for the rest of our lives together
cc The bold
Usiache kumuombea Mungu amlinde asiharibike maana shetani hajalala anawinda wa kummeza,
 
Mahusiano Ya Kimapenzi Ama Ndoa Hayatabiriki. Wapo Akina Flora Mbasha Walitunga Nyimbo Kusifia Ndoa Zao Lkn kilicho kuja kutokea nyote mnakijua.

Shetani Wa Mapenzi Ni Nouma.
 
Mshukuru Mungu,tatizo ni je hyo hali itadumu milele,maana wenzako tulipitia hivo mpaka tukajisahau lkn mambo yakageka vvvvupp chali
Mkuu....kwakweli naombea mambo yacje yakabadilika kwa maana litakuwa ni jeraha kubwa sana la moyo. Hata hivyo kwa jinsi relation yetu ilivyo ni vigumu sana kuvumilia hii situation. Nadhani ni wanaume wachache sana wanaoweza kupenda kiasi hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom