Mpendazoe Alidhani ukabila utambebaSince amekatwa mkia ng'ombe wenzake wamekua wanamtenga na kumkimbia hawataki hata kumuona.
Mpendazoe Alidhani ukabila utambebaSince amekatwa mkia ng'ombe wenzake wamekua wanamtenga na kumkimbia hawataki hata kumuona.
Kazamia Dar kumbe!Anzia kuuliza pale TAG kanisa tabata chan'gombe anasali pale akiwa dar
Hapana nimemkumbuka tu alivyokuwa msomi mzuri halafu siasa zikamharibu kabisa!Wewe unamtakia nini.
Mtu kajipumzikia, nyie mna anza kumchokonoa.
Du!Alikuwa anakaa mtaa wetu wa ugombolwa huku kata ya segerea,mara ya mwisho nilikuwa naona nyumba yake inatangazwa kupigwa mnada afu nikawa namuona anatembea kwa miguu mtaani na suzuki escudo au kwa miguu kutoka segerea mwisho hadi kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app