Anauguza mkiaAlikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.
Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.
Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .
Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?
Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
HaaaahKuna wale wakurugenzi 13 waliokacha uteuzi nadhani huyu mpendazoe atapata amekubali kukatwa mkia

mkuu, hujui kuwa siku hizi kuna ugonjwa mpya unaitwa tail-lessnessiasis? nasikia ni ugonjwa mbaya sana!Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.
Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.
Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .
Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?
Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
Haaaahmkuu, hujui kuwa siku hizi kuna ugonjwa mpya unaitwa tail-lessnessiasis? nasikia ni ugonjwa mbaya sana!

Karudi na tetemeko naonaAliekatwa mkia