Mpendazoe yuko wapi?

Mpendazoe yuko wapi?

Fred Mpendazoe ana maisha magumu sana mpaka anatia huruma
Nilikua namshangaa sana huyu jamaa kwanini alijiingiza kwenye siasa na kuachana na ajira ya utumishi wa uma(alikua Chief Accountant wa Wizara ya Maji wakati wa serikali ya Rais Mkapa) huku akijua anangozi laini kisiasa. Alivamia siasa za upinzani akifikiri kuna mito ya maziwa na asali na alipoona matarajio yake yamepotea akarudi CCM na kugeuka msemaji wake asie rasmi kama anavyofanya Jery, matokeo yeke wanageuka kituko!
 
Huyu Jamaa ilifika mahali alikuwa kero , maana kila atakalo lisikia kuhusu Serikali anakuja kulitetea au kulipongeza akidhani mkulu atamuona ampe "ulaji" lakini naona na jiwe likaamue limpuuze.

Ni rahisi sana kuondoka CCM ukaenda Upinzani ukaendelea kubaki na "umaarufu" wako ila ngumu sana Kuondoka Upinzani na kwenda CCM na ukaendelea kubaki na Umaarufu wako.

Huyu jamaa kaona harakati zake zinapuuzwa kaamua kukaa kimya tu.

Anapata shida sana sasa hivi, maisha yake ni magumu ajabu hawezi hata kumudu mlo kwa siku.
Umefurahi sasa? Kiu yako imeisha ya kuishi kusubiri mwingine apate shida ufurahie?
 
Mpendazoe mshamba sana, nakumbuka miaka ya 2008 wakati bado mbunge niko dom nafanya kazi workshop fulani ya computer maintenance, jamaa alikua anakuja tumtengenezee comp yake, kwenye malipo anakupangia jinsi ya kukulipa, siku moja akapiga simu nikamrekebishie printer yake kwenye gesti anayokaa maeneo ya airport jirani na chako ni chako ile kufika nagonga mlango akajibu ingia kuzama ndani nakuta yuko kifua wazi amekaa kitandani na demu ambaye ni mama ntilie anatuuziaga msosi kijiweni yule demu akanifinyia kijicho nikaushe nijifanye kama simjui, nikapiga kazi yangu fasta nikamaliza ile naaga nitoke jamaa akanipa buku tatu eti ndo malipo kukomaa ananijibu Ww nenda bwana tutawasiliana nikasepa zangu jioni nikakutana na yule demu nikamkazia Ww ndo umefanya nisilipwe demu akanitia elfu kumi huku akimponda Mzee mwenyewe mshamba analingia kipara tu hana lolote, tokea siku hiyo akija ofisini najifanya bize nauza kazi!
 
Nilikua namshangaa sana huyu jamaa kwanini alijiingiza kwenye siasa na kuachana na ajira ya utumishi wa uma(alikua Chief Accountant wa Wizara ya Maji wakati wa serikali ya Rais Mkapa) huku akijua anangozi laini kisiasa. Alivamia siasa za upinzani akifikiri kuna mito ya maziwa na asali na alipoona matarajio yake yamepotea akarudi CCM na kugeuka msemaji wake asie rasmi kama anavyofanya Jery, matokeo yeke wanageuka kituko!
Katika maelezo haya kuhusu huyu jamaa nimejifunza kitu
 
Duh aiseee
 
Mpendazoe mshamba sana, nakumbuka miaka ya 2008 wakati bado mbunge niko dom nafanya kazi workshop fulani ya computer maintenance, jamaa alikua anakuja tumtengenezee comp yake, kwenye malipo anakupangia jinsi ya kukulipa, siku mojaakapiga simu nikamrekebishie printer yake kwenye gesti anayokaa maeneo ya airport jirani na chako ni chako ile kufika nagonga mlango akajibu ingia kuzama ndani nakuta yuko kifua wazi amekaa kitandani na demu ambaye ni mama ntilie anatuuziaga msosi kijiweni yule demu akanifinyia kijicho nikaushe nijifanye kama simjui, nikapiga kazi yangu fasta nikamaliza ile naaga nitoke jamaa akanipa buku tatu eti ndo malipo kukomaa ananijibu Ww nenda bwana tutawasiliana nikasepa zangu jioni nikakutana na yule demu nikamkazia Ww ndo umefanya nisilipwe demu akanitia elfu kumi huku akimponda Mzee mwenyewe mshamba analingia kipara tu hana lolote, tokea siku hiyo akija ofisini najifanya bize nauza kazi!
Da! we MTU umemchukia sana Mpendazoe. Kutiririka kote huku haki ya Mungu kama akiingia na kusoma huu mnango wako kama ana chochote kinyume na mnavyomtafisri wasijulikana watakuhusu nawe pia.Mpendazoe watu huku wanakuvua nguo
 
Mpendazoe mshamba sana, nakumbuka miaka ya 2008 wakati bado mbunge niko dom nafanya kazi workshop fulani ya computer maintenance, jamaa alikua anakuja tumtengenezee comp yake, kwenye malipo anakupangia jinsi ya kukulipa, siku moja akapiga simu nikamrekebishie printer yake kwenye gesti anayokaa maeneo ya airport jirani na chako ni chako ile kufika nagonga mlango akajibu ingia kuzama ndani nakuta yuko kifua wazi amekaa kitandani na demu ambaye ni mama ntilie anatuuziaga msosi kijiweni yule demu akanifinyia kijicho nikaushe nijifanye kama simjui, nikapiga kazi yangu fasta nikamaliza ile naaga nitoke jamaa akanipa buku tatu eti ndo malipo kukomaa ananijibu Ww nenda bwana tutawasiliana nikasepa zangu jioni nikakutana na yule demu nikamkazia Ww ndo umefanya nisilipwe demu akanitia elfu kumi huku akimponda Mzee mwenyewe mshamba analingia kipara tu hana lolote, tokea siku hiyo akija ofisini najifanya bize nauza kazi!

😀😀😀
Kwa mtiririko huko, tayari amesha kukumbuka!
 
Basi kwa ninavyomjua mkulu wetu,hivi mumemnanga Mpendazoe,kesho atamteua nafasi ya kula,haiwezekani MTU aliondoka upinzani kuunga mkono serekali halafu mumseme hivi.Ngoja tumpe u DC
 
Nilikua namshangaa sana huyu jamaa kwanini alijiingiza kwenye siasa na kuachana na ajira ya utumishi wa uma(alikua Chief Accountant wa Wizara ya Maji wakati wa serikali ya Rais Mkapa) huku akijua anangozi laini kisiasa. Alivamia siasa za upinzani akifikiri kuna mito ya maziwa na asali na alipoona matarajio yake yamepotea akarudi CCM na kugeuka msemaji wake asie rasmi kama anavyofanya Jery, matokeo yeke wanageuka kituko!
Duh! Kumbe alikuwa mzito sana
 
Mpendazoe mshamba sana, nakumbuka miaka ya 2008 wakati bado mbunge niko dom nafanya kazi workshop fulani ya computer maintenance, jamaa alikua anakuja tumtengenezee comp yake, kwenye malipo anakupangia jinsi ya kukulipa, siku moja akapiga simu nikamrekebishie printer yake kwenye gesti anayokaa maeneo ya airport jirani na chako ni chako ile kufika nagonga mlango akajibu ingia kuzama ndani nakuta yuko kifua wazi amekaa kitandani na demu ambaye ni mama ntilie anatuuziaga msosi kijiweni yule demu akanifinyia kijicho nikaushe nijifanye kama simjui, nikapiga kazi yangu fasta nikamaliza ile naaga nitoke jamaa akanipa buku tatu eti ndo malipo kukomaa ananijibu Ww nenda bwana tutawasiliana nikasepa zangu jioni nikakutana na yule demu nikamkazia Ww ndo umefanya nisilipwe demu akanitia elfu kumi huku akimponda Mzee mwenyewe mshamba analingia kipara tu hana lolote, tokea siku hiyo akija ofisini najifanya bize nauza kazi!
Duh
 
Duh! Kumbe alikuwa mzito sana
Namshangaa kama ninavyowashangaa Mwigulu na Kitwanga kuacha career zao kama wachumi pale BOT na kujiingiza kwenye siasa ambapo waweza tukaniwa hadi mzazi wako na kudhalilishwa hadharani na wanasiasa wenzako
 
Au wanaweza kufokewa na bw mdogo polepole, siasa ni stress tosha hasa hapa bongo, kama uko sehem imetylia bora kutulizana ila sasa kwa huku mtu hajaingia kwenye siasa anaona bado hajafika, nakumbuka ya Manji na udiwani wa mbagala
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Huyu Jamaa ilifika mahali alikuwa kero , maana kila atakalo lisikia kuhusu Serikali anakuja kulitetea au kulipongeza akidhani mkulu atamuona ampe "ulaji" lakini naona na jiwe likaamue limpuuze.

Ni rahisi sana kuondoka CCM ukaenda Upinzani ukaendelea kubaki na "umaarufu" wako ila ngumu sana Kuondoka Upinzani na kwenda CCM na ukaendelea kubaki na Umaarufu wako.

Huyu jamaa kaona harakati zake zinapuuzwa kaamua kukaa kimya tu.
Anasubiria mkia uote
 
Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.

Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.

Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .

Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?

Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
Mkuu rudi JF , au ulipiga ile namba uliyopewa na Mwigulu kwenye lile sakata la Ben Saanane ? sasa hivi Mwigulu kishatimuliwa
 
Basi kwa ninavyomjua mkulu wetu,hivi mumemnanga Mpendazoe,kesho atamteua nafasi ya kula,haiwezekani MTU aliondoka upinzani kuunga mkono serekali halafu mumseme hivi.Ngoja tumpe u DC
Tena kuna nafasi ya ukurugenzi jiji la Arusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom