Mpendazoe yuko wapi?

Mpendazoe yuko wapi?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,559
Reaction score
57,862
Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.

Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.

Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .

Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?

Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
 
mpaka tukitumia ID zinazotambulika, ndo mtakuwa mna post taarifa zenye akili.
 
Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.

Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.

Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .

Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?

Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
upload_2016-9-18_16-56-42.jpg
 
Kwani lowasa ni msafi?
 
Mzee achanganyikiwa yule, tatizo ukiifanya siasa kama ajira yako rasmi badala ya sehemu ya kupigania maslahi mapana ya jamii lazima uchanganyikiwe pale unapokosa maslahi yako binafsi
 
Au na yeye tumuombee?
 
Alipost kwa fujo Kweli,
Vijana wakamfanyia Kweli, wakampa za uso hadi alipokua anaomba kufundisha ili aweze at least kujikimu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom