Mpendana na wala msiachane mlio na wapenzi

Goku 255

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
473
Reaction score
907
Maana upendo ndio kila kitu,msidharau mwenzako ila mpende kwa raha na taabu.Ili tuweze kuwapa vijana moyo wa kuoa maana wanaona n kama watateseka.
 
Kikubwa heshima tu ndoa za sikuhizi zimekua za miili miwili sio mwili mmoja tena....
Wanandoa wenyewe wananyege za vilele,mke anataka kukojozwa vizuri na mume anataka jicho na mkewe hampi..
 
😹🤣🤣
 
maweed na wew unataka jicho?
 
Wanaume tunajali sana basi tu

Mtu hujakumta bikra kwenye vibe ukanyonya mpaka nyuchi yake

Ila yeye ukimwambia koni hii ile Eti anachefukwa.! 🤭

Mabinti mmezaliwa na laana za bibi zenu acha mnyukwe na kutemwa hamna maajabu
 
Kikubwa heshima tu ndoa za sikuhizi zimekua za miili miwili sio mwili mmoja tena....
Wanandoa wenyewe wananyege za vilele,mke anataka kukojozwa vizuri na mume anataka jicho na mkewe hampi..
Tobaaaa!!!
 
Back
Top Bottom