Mpemba

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,896
Kuna mpemba alipelekwa mahakamani, kwa kesi ya wizi wa muhogo. Yule mpemba alikuwa anaweka zogo sana mahakamani. Jaji akamwambia askari 'mpe chai' askari akampiga kibao. Baada ya ya dakika mbili mpemba akarejesha kibao kwa askari. Jaji akamuliza mpemba 'kwanini unampiga askari' mpemba akajibu ' namrejeshea vikombevyeee' hah hah haaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…