wanaume tuna moyo wa upendo katika kugawa bia kongosho hasa kwa wanawake hivyo usikasirike unapopewa offer pokea tu haina mbaya
Sasa bar umefuata nini kama wewe hunywi bia?bar hawauzi chai.bia ni gea tuu ya kukuingia ili utongozwe ukiikubali kitakachofuata unajua mwenyewe!ni sawa na unapotoa rushwa unasema chukua soda hiyo huku unatoa pesa
kipapaa gani? tulikuwa kikawaida tu....hahahaha! Full kukukomoa, ulikaa kipapaa zaidi nini?
ha ha haaaa, lol! ngoja nicheke kwanza. Kongosho, mimi nimejifunza kumwambia waiter pelekea yule kinywaji anachokunywa...
Obvious huwezi mwagizia mtu kinywaji cha kwanza, lazima atakuwa anakunywa then namwongezea.
Kuna siku tulienda sehemu tukakuta familia ipo, mume, mke, watoto.......
baba anakunywa bia, mama na watoto wanakunywa soda......
tukamwambia waiter awapelekee kinywaji.....
cha ajabu walibadilisha vinywaji, sijui ndo kukomoa au vipi.....
mama na watoto wakahamia kwenye bavaria........ nikajishangalia tu watoto WANAONJESHWA bavaria sababu ya offer, lol!
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Bwana mkubwa Kongosho, hii inaonyesha ni jinsi gani wanaume wa Tanzania walivyo wakarimu. Naomba pia uwaombe wadada nao wawe na ukarimu unaofanana huu wa kutoa bila kusubiri kuombwa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yaani mie mtu akiniagizia bia anayaamsha maruhani, sijui kwa nini huwa nachukia to the maximum.
Anyway, sijui naitafsiri vipi.
Hivi bar hakuna vinywaji visivyo na kilevi?
Hata kama, siruhusiwi kaa bar. Nikala tu bila kuonja bia?
Hata kama nakunywa bia, kwani lazima niewe ofa? Si niachwe nijinunulie mwenyewe?
hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......Ha ha ha, inamhusu ke yeyote.
Kuna siku unajikuta unataka kukaa mahali peke yako unywe upendacho bila kuongeleshwa na mtu.
Utafakari na kutafakuri maisha, unakutana na viofa vya bia, inadisturb meditation yote.
Mie naona kupokea ni ku-abusi my inteligensi.
Bia moja haizidi elfu tano, kwa mwezi unaingiza sh.ngapi?
Mi sijawahi pewa ofa kama hiyo. Labda hizo ni tabia za Dar, huku Tanga hamna hizo.
Nashangaa kwa nguvu tu
Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia'
Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza kuagiza atakacho anapewa ofa ya bia.
Na hawa ma maweita wanaokubali kutumwa kusema 'nimeambiwa nikuletee bia' hawafundishwi kastama kea? Wamiiliki linawahusu hili.
Na nyie baadhi ya wanamme, ni nini? Kwa nini hamuwaachi wanawake na mambo yao?
Akyamama sheria ya umiliki wa silaha ya TZ inasemaje? Maana itahusika muda si mrefu.
Ni taarifa na tahadhari, maana kuna watu ntawafanya wajane au yatima soon kwa kurestisha in peace baba zao.
Siruhusiwi kwenda bar alone?
Na sura ya njaa ikoje?

hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini