Mpe ushauri shangazi Julie

Mkasa wake upo hivi...

"Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu inamsumbua sana . Ameniomba ushauri nami ninakushirikisha tuungane kumshauri".

Weka hapa ushauri wako nami nitaufikisha kwake.
Isaya 57:21
[21]Hapana amani kwa wabaya; asema Mungu wangu.
There is no peace, saith my God, to the wicked.
 
Siku mumewe akirudi mama aandae chakula kisha awakaribishe mezani mumewe na binti yake.

Wakimaliza kula tuu mama aanze kusema kosa alilofanya mbele yao huku akimuomba msamaha mumewe na kusema anakiri kosa na kweli amelifanya na shaidi ni binti yao alishuhudia kila kitu.

Hapo kesi itakuwa imeisha na wataishi Happily Ever After.

NB: natumai mumewe hatochanganyikiwa na kuchukua maamuzi kama yule Dr. wa Botswana....
 
Back
Top Bottom