Ukinambia kuwa hayo mabasi yapo speed 90 na bodaboda speed 60 nakukatalia kwa sababu hapo mabasi yalipo ndo yameumaliza mlima hilo LA kulia na lile linalo overtake halijaumaliza vizuri hivyo kwa hapo kwa basi lolote lenye abiria haliwezi kupanda mlima na speed 90, kwa kuwa gari LA kushoto bado lipo mbali kidogo Anapaswa arudi faster kushoto aelekee kule kwenye ukijani na hatadhurika sana maana ni mlimani, huyo aliye overtake hawezi kurudi kwenye njia yake kwa haraka maana tayari yupo katikati ya ubavu wa basi analotaka kulipita,, kama siyo Photoshop kumbe siyo bongo tu huu ujinga unafanyika, naona plate numbers za hayo mabasi ni njano hivyo siyo Bongo..