Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,200
Akili ya dereva wa bus la Kushoto haijui itamtumaje!. Ni bora Abaki katikati akisubiri Yajayo!.
Kuna siku nilikuwa naingia main road bila kuangalia!. Upande nilio washa indiketa kua naelekea ni kulia halafu kushoto kuna Tata lipo speed linakuja na huku kulia kwangu kuna boda ipo speed inakuja, badala ya kurudi nyuma kugongwa na gari niliyoongozana nayo nikapark palepale na kushusha siti ikalala nikamsubiri boda nilisikia Puuh akapita upande wa pili!.
Sifurahii kilichotokea lakini niliokoa roho za kwenye Daladala, sawa na hapo aokoe roho za kwenye bus!.
Da'Vinci' njoo uone maamuzi magumu huku.