Mpe ushauri huyu dereva wa bodaboda ajiokoe vipi

Mpe ushauri huyu dereva wa bodaboda ajiokoe vipi

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Apite wapi ili ajiokoe ukizingatia hizo basi zipo kwenyr spidi 90

Na pikipiki yupo kwenye spidi ya 60 hivi
FB_IMG_15227323891299333.jpg
 
Kama ana mazoezi yeye atapaa juu basi moja, pili km hana zoezi azuie pikipiki kwa kusimama ktk mstari ili mabasi yampite kitahisi.
 
  • Thanks
Reactions: cai
Basi limeingia upande wake, inaelekea hio barabara ni LHS drive
sio kweli tazama saloon car mbele yetu, iko RHS. ni kosa la basi la kushoto mwetu lilijaribu kuomba njia bila tahadhari. kuna jambo la kufanya, arudi ghafla kushoto, naamini basi la kushoto kwake litarudi njia yake kuepuka uso kwa uso na gari ndogo. pia gari ndogo itapunguza mwendo kumnusuru pikipiki.

pamoja na hayo, YAJAYO HAYAVUTII HISIA!
 
Basi limeingia upande wake, inaelekea hio barabara ni LHS drive
Kuna SUV nyuma yake,mwenye SUV anaweza kwenda kushoto kwake zaidi na kulikwepa bus lililo overtake kimakosa.
Mwenye pikipiki nae alitakiwa abane kushoto zaidi (service road) maana hapo ni mlimani na hajui kwanini bus limehamia upande wake.Akigongwa ni kosa lake,hadi kwa Mungu atahukumiwa kwa kujiua.
 
Apite wapi ili ajiokoe ukizingatia hizo basi zipo kwenyr spidi 90

Na pikipiki yupo kwenye spidi ya 60 hiviView attachment 732782
Mwenye pikipiki mwenyewe nae wale wale. Alitakiwa awe upande wa kushoto pembeni kabisa na angeweza kuchepuka kuepuka bus linalo-overtake. Wacha apambane na hali yake.
 
Akili zake haziko huyu ataendeshaje katikati inabidi arudi upande wake chap aendeshe hata nje ya lami
 
Back
Top Bottom