Mpe ushauri huyu dada!

hahaha!gugo hapo mkuu bakora Zina namna yake tofauti na fimbo
wenyewe tunakwambia "ntakutia bakora"
Kuna teacher wa hisabati la standard 4 alikuwa anapenda sana kuita bakora, anachapa ile mbaya...

chini ya... hapo anaanda bakooooraaa za kutosha!
 
Kuna teacher wa hisabati la standard 4 alikuwa anapenda sana kuita bakora, anachapa ile mbaya...

chini ya... hapo anaanda bakooooraaa za kutosha!
kumbe Sasa umeanza kuelewa bakora ni Nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…