hawa wachambuzi jau Sana bora hata watuite sisi tuu tuchambuehahahhhhh kama wachambuzi wa mpira!
Hahahhhh wawe wanaingiamo na wao sio maneno tuhawa wachambuzi jau Sana bora hata watuite sisi tuu tuchambue
kulikoni mkuu.wanaingiamo "
umenikumbusha jamaa yangu muhaya mmoja hapa dah!?
we hujaona hapo mkuukulikoni mkuu.
Natumia kiswaswadu naona maboksi tu mkuu...we hujaona hapo mkuu
Hahahhhhh kimasihara tu au?Mi nampa mimba, ushauri utampa wewe
amnajipya hata ivo ilo NENO tuuNatumia kiswaswadu naona maboksi tu mkuu...
Hahahhhh huku lake zone ndio viswahili vyetu unakuta mo na ga ndio viambish tamati unaingiaga, unakulaga,? ukimkutamo,amnajipya hata ivo ilo NENO tuu
"WANAINGIAMO" ni lugha flani yakifala hivi kukazia maneno
mnazingua aiseeHahahhhh huku lake zone ndio viswahili vyetu unakuta mo na ga ndio viambish tamati unaingiaga, unakulaga,? ukimkutamo,
Hahahhhh sie kawaida tu! ndoho tabhu!! Nkuumnazingua aisee
kwasisi watu wa ukichimama nshale,ukikaaa nshale,ukikimbia nshale tunabaki na bumbuazi tuuh
Kila siku tunafanya kazi yakumuelekezq Hadi anaona aibu saivi kuchangiachangia madaHahahhhh sie kawaida tu! ndoho tabhu!! Nkuu
Hahahhhh malugha menyewe tumeyakuta wacha twende hivyo hivyo!Kila siku tunafanya kazi yakumuelekezq Hadi anaona aibu saivi kuchangiachangia mada
Picha nilionaga ktambo 2014 mshkaji wangu ali post facebookView attachment 3699513
Naomba mpe ushauri huyu dada!
saivi tutaanza kuchapa na fimboHahahhhh malugha menyewe tumeyakuta wacha twende hivyo hivyo!
anhaa!Basi ndo yeyePicha nilionaga ktambo 2014 mshkaji wangu ali post facebook
Hahahhhh hiiiiii ogopa!!!saivi tutaanza kuchapa na fimbo
za shingo tenaHahahhhh hiiiiii ogopa!!!