Mpasuko wanukia CHADEMA

Mpasuko wanukia CHADEMA

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,493
Reaction score
2,366
Fredy Mpendazoe aongoza harakati za kumpindua Mbowe.
20160325_045324.jpg
 
Chadema chama kisichoaminika watapinga hii hadi mwisho kama walivyokapinga ujio wa lowasa kumbe mbowe alishajipigia dili kitambo...!!
 
Nilidhani SingidaDodoma pekee smbaye chanzo chake cha habari ni magazeti ya udaku,kumbe Kuna bazazi mwingine
 
Hichi kigazeti gani cha kutufanya tuamini habari zake? Mpelekeeni babu akafungie mihogo
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
ccm yako ilishawai tangaza matumizi?
Iambie ccm itoe hesabu ya pesa ya matumizi ya kampeni za uchaguzi wa 2015
 
Hivi huyu jamaa yupo, aligombea ubunge segerea wakampiga chini. Hana ubavu huo.
 
ccm yako ilishawai tangaza matumizi?
Iambie ccm itoe hesabu ya pesa ya matumizi ya kampeni za uchaguzi wa 2015
Sasa tofauti ya CDM na CCM iwapi, ilhal kila jambo kioo chenu ni wao? Ama kweli Ali Hassan Mwinyi hakukosea pale aliposema CDM ni CCM B
 
Yaani MTU anayeongoza harakati ni Mpendazoe? Harakati hizo zitakua zimeshindwa kabla ya kuanza
 
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
Well said mcubic......!!!!!
 
MPendazoe yupo sahihi cdm imekufa kitambo imeshapigwa mnada longtime na mbowe
 
Back
Top Bottom