Future-Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 334
- 7
Tutasubiri miujiza na haitakuja aslani. Mwelekeo unaonyesha kizazi chetu kitaendelea kutaabika huku wachache wakiendelea kumega bila soni kilicho chetu. Na watoto wetu tutawarithisha umasikili huu ndani ya nchi yenye neema ya kila kitu.
Wakati mwingine mabadiliko sio lazima muendelee na mazungumzo kama upande mmoja unajiona bora zaidi na hautaki kuheshimu mawazo ya wengine. Hata matumizi ya nguvu yanaweza kuwa Justified ikiwapo hali hiyo, Huo sio uhaini bali ni kutetea maslahi ya walio wengi. Mbona mapinduzi ya Zanzibar 1964 yanaenziwa? Hata wale walio ong'olewa Zanzibar 1964 walichaguliwa kwa kura.
Chakaza,
Tabaka ambalo mafisadi/CCM linaendelea kuliweka ndio utafanya/limefanya watanzania wafikie boiling point yao.. I am a optimistic person but I am not sure if Tanzanians have any more guts left for more forgiveness to mafisadi/CCM.