Hapo kuwa CDM (kama unamaanisha CHADEMA) kuwa haitaki mgombea binafsi , huo ni uongo wa waziwazi kabisa.Acha kupoteza muda
Vyama vinavunja katiba, ni vyao ili uhoji uwe sehemu yao.Ndio maana kama taifa tunahitaji mgombea binafsi kitu ambacho ccm au cdm hawatakagi kabisa
Kama wamevunja ni wao, Membe anajua kakulia na anaijua ccm deep, na hana la kufanya lolote lile
Wewe huna la kufanya, msajili wa vyama hana la kufanya.it is happening in every political parties duniani hapa, we have mifano kibao CDM pia
Acha kuogelea kwenye swimming pool ya lawama, goli hilo tayari!! Kaonewa hajaonewa haioni ikulu wala asikupe faraja ya kutoa lawama, kwenye siasa tunaangalia mwisho wa ushindi
Membe knew all this, sana tu kuliko wewe
Hakuna wa kumjibu, November mtegemee JPM ofisini, dont waste your time in this wont help you either
Hapa nilitegemea unakuja na ma mipango ya kutisha ya CDM kuingia ikulu. Unamjadili membe na ccm yake, wewe ni ccm??? Acha hizo
Nje ya CCM hana nguvu zozote Mkuu.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Kwa kuwa unaamini mwisho ni ushindi unao_matter bila kujali umepatikanaje, hao wapinzani wa JPM nao wanaweza kupita njia hiyo hiyo na JPM asirudi ofisini.Acha kupoteza muda
Vyama vinavunja katiba, ni vyao ili uhoji uwe sehemu yao.Ndio maana kama taifa tunahitaji mgombea binafsi kitu ambacho ccm au cdm hawatakagi kabisa
Kama wamevunja ni wao, Membe anajua kakulia na anaijua ccm deep, na hana la kufanya lolote lile
Wewe huna la kufanya, msajili wa vyama hana la kufanya.it is happening in every political parties duniani hapa, we have mifano kibao CDM pia
Acha kuogelea kwenye swimming pool ya lawama, goli hilo tayari!! Kaonewa hajaonewa haioni ikulu wala asikupe faraja ya kutoa lawama, kwenye siasa tunaangalia mwisho wa ushindi
Membe knew all this, sana tu kuliko wewe
Hakuna wa kumjibu, November mtegemee JPM ofisini, dont waste your time in this wont help you either
Hapa nilitegemea unakuja na ma mipango ya kutisha ya CDM kuingia ikulu. Unamjadili membe na ccm yake, wewe ni ccm??? Acha hizo
10 years ndo muda wake anaotakiwa kuongoza kama ataaminiwa na atapitishwa tena na chama 2020-2025 ambapo mpaka sasa asilimia ni 99.8, asilimia 1 inayobaki ni endapo ataumwa, 0.5 ni endapo atatutoka maana naye ni binadamu, na asilimia 0.5 nyingine ni ile ya mpinzani wake aliyosema kati ya june to oct lolote linaweza kutokea.Waberoya
Wewe mpe hiyo misifa tu Jiwe ambayo hana.........
Hivi kuwa madarakani na kuvimiliki vyombo vya dola ndiyo huwezi fanwa chochote na wananchi?
Hebu jiulize Al-Bashir hakuwa na vyombo vya dola?
Yuko wapi sasa hivi?
Hebu jiulize tena, hivi Mugabe hakuwa na vyombo vya dola?
Lakini aling'olewa madarakani, huku haamini yanayotokea
Hebu jiulize pia Mobutu hakuwa na vyombo vya dola alivyoona yeye mwenyewe ndiye anayevimiliki?
Naye si aling'olewa madarakani bila kupenda?
Huyu Jiwe kama anataka kudumu madarakani, basi "asijimwambafai" na kuamini kuwa hapa TZ kawaweka wananchi wote mfukoni mwake, Bali ajinyenyekeze na atekeleze majukumu yake kwa mujibu wa Katiba yake ya Chama na Katiba ya nchi, kinyume cha hivyo nakuapia kuwa hatadumu madarakani!
Udikteta unakula hadi kwenye chama zee, wacha macho yetu yashuhudie.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Hivi mtu aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya nje, bado unamuona tu kuwa alikuwa mwanachama wa kawaida?Sasa membe alikuwa na cheo gani kikubwa ndani ya CCM mpaka siku anafukuzwa.
Ukishapata jibu hilo basi umejijibu kwa nini hajibiwi bali amepuuzwa.
Kumjibu ni kumpa attention aliyoitafuta na kwa kutomjibu, pia utaona umaarufu wake unaporomoka kwa speed ya ROCKET .
Sasa membe alikuwa na cheo gani kikubwa ndani ya CCM mpaka siku anafukuzwa.
Ukishapata jibu hilo basi umejijibu kwa nini hajibiwi bali amepuuzwa.
Kumjibu ni kumpa attention aliyoitafuta na kwa kutomjibu, pia utaona umaarufu wake unaporomoka kwa speed ya ROCKET .
😁😁😁😁😁😁😁Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
😁😁😁😁😁😁😁Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Upo sahihi, hii mijadala isingekuwepo kama ushindani ungeruhusiwa sababu atashinda tu. Sijui kwann chama kinakubali hii mijadala.Wewe unaongelea historia, issue ya Membe na CCM Inaishia hapo.
Kama magufuli kwa sasa hahitaji sana kampeni za ndani ya chama.
Kama ilivyokuwa hapo awali enzi za kina Membe....makundi ndani ya CCM mpaka sasa magufuli ameyaomdowa.
Kuanzia kamati kuu hadi halmashauri kuu.
Sasa wewe unadhani nini tena haja ya membe hapo?
Ukija uraiani, hata huyo membe anajuwa kabisa kwamba magufuli hahitaji fedha au mbinu chafu ili kupata kura za urais kwa sababu kazi zake zimeonekana tayari.
Nakunja vidole mkuu 'Mystery', kama kuna la ziada unalojua nisilojua mimi.Sasa ngoja tuwasubiri wenye chama chao, wamuonyeshe mlango wa kutokea huyo Jiwe, anayeamini kuwa "there is nobody to defeat him"
Inaelekea Huijuii siasa wewe...!! Acha kabisaa mzeee ndo maana ametoa form Mojaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe unaongelea historia, issue ya Membe na CCM Inaishia hapo.
Kama magufuli kwa sasa hahitaji sana kampeni za ndani ya chama.
Kama ilivyokuwa hapo awali enzi za kina Membe....makundi ndani ya CCM mpaka sasa magufuli ameyaomdowa.
Kuanzia kamati kuu hadi halmashauri kuu.
Sasa wewe unadhani nini tena haja ya membe hapo?
Ukija uraiani, hata huyo membe anajuwa kabisa kwamba magufuli hahitaji fedha au mbinu chafu ili kupata kura za urais kwa sababu kazi zake zimeonekana tayari.
Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.Ulikuwa unaota mpasuko wa sketi au underskate a.k.a shumizi.
Yaani membe ndio wa kuleta mpasuko CCM? Mtu pekee alijipanga na kusumbua CCM ni LOWASSA huyu hata mtikisiko hawezi sababisha. Huo ubobezi wa ukachero alikuwa nao akiwa kwenye system. Sasa hivi ni sawa na samaki nje ya maji anatapata tu hana lolote.
Akili ndogo hizi, hivi anavyobwabwaja mitandaoni mnaona anaogopwa. Basi kama ana nguvu aende chama chochote akajipime na Magu. Ikiwa hawezi kwenda chama pinzani akajipima na Magu sasa anawezaje kujipima ndani ya CCM?Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.
Kama Membe ni muhimu na anauwezo wa kushinda urais nashauri CHADEMA imuchukue.Kwa namna huyu "Jasusi mbobezi" Bernard Kamilius Membe, anavyoendelea kushika "chart" humu kwenye mitandao ya kijamii, ni dhahiri kuwa huko kwenye hicho chama, wanachodai wenyewe kuwa ni chama kikubwa, hivi sasa kunatokota na sisi wananchi tusubiri, kwa kuwa yajayo yanafurahisha au kukarahaisha...
Membe ametoa madai mazito sana kuwa Katiba ya CCM haikufuatwa katika kufukuzwa kwake ndani ya Chama
Kwani amedai kuwa ni takwa la kikatiba, anapofukuzwa kiongozi yeyote wa ngazi za juu katika chama hicho ni LAZIMA jambo lake lingejadiliwa ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, ndipo uamuzi ufikiwe.
Jambo ambalo halikufanyika katika kufikia uamuzi wa kufukuzwa kwake. Kwani mwenyewe anadai kuwa "process" ilikuwa haijakamilika, kwa kuwa kikao kilichomjadili kilikuwa ni kikao cha Kamati Kuu pekee, wakati mchakato ulikuwa haujakamilika, kwa kuwa kikao chenye uamuzi wa mwisho, ambacho ni kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilikuwa hakijakaa.
Jambo linaloshangaza ni kuwa tokea madai hayo yatolewe na Membe, hakuna kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa CCM, aliyejitokeza kujibu tuhuma hizo
Kwa madai mazito kama hayo, ni kwanini hadi sasa chama cha CCM, kimeamua kukaa kimya, kisitoe majibu yoyote, kwa madai hayo ya Membe?
Inaelekea kuna mfukuto mkubwa sana huko kwa majirani zetu wa CCM
Ni dhahiri sasa kama alichoongea mwenyewe Membe, kuwa tufanye subira kati ya mwezi huu wa June hadi October ya mwaka huu, lolote lisilotegemewa na wananchi wengi litatokea katika nchi hii na litaleta kishindo kikubwa sana!
Subira yavuta kheri, ngoja tusubiri ili tuyashuhudie yatakayojiri
Tatizo la kuvuta bhangi za kupokezana!Nimekutime hata picha nimekupiga ukiwa umeshikia kirungu na koti lako la kijani
Ikiwa anaona ana nguvu aende upinzani akamsumbue sio anatumia gia ya jambo haliwezekani na sio utamamduni wa chama!! Huyu ni debe tu lilitupwa na system linajaribu kulia ili lisikike.Vuta punzi mkuu ingekuwa hayo usemayo yanamashiko basi asingeogopwa kiasi hicho hebu mruhusuni basi tuone kama hatamsumbua mkulu.
Jumatatu ndo hiyoooo inayoyoma hebu nipe habari huyo membe wako kachukua fomu.Kwahiyo alivyotuita wapumbavu ndiyo iliifanya nchi yetu kuwa na uwezo wa kuwahudumia wananchi bila kutembeza bakuli kwa mabeberu? [emoji23][emoji23][emoji23]