CRAP!...Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.
1) Kususia Hotuba ya Rais
Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.
2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.
Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.
Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.
3) Sakata la Arusha:
Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.
Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.
Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.
Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...
hayana ukweli wowote huo ni uchochezi!!! waliokutuma waambie umekuta chadema wamejipanga hukupewa nafasi!!:angel:
Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.

Umelala nini ebu amka kumekucha, angalia jua usoni fungua macho uone, giza la SISISEM liosikumeze tetea nchi yako kijana !!!!!!!!!!!!
Lbada ni makosa kuwaonyesha mapungufu? ambayo ni ya kweli tupu, watu wenye maana na mawazo wangema mnhhhh, huyu outsider kayaona haya, hebu tutazame namna ya kuyarekebisha.
Huo ni mtazano wako wa kiccm, chadema haitayumbishwa na chochote maana ni chama cha nguvu ya umma. chadema ni watanzania wote wenye upeo usijeukajindanganya chadema ni mbowe,slaa,zitto,mnyika nk. Chadema ni chama cha nguvu ya umma hakuna anayeweza kuua chadema kama kiongozi hatakama wataondoka viongozi wote waliopo sasa bado kitaendelea kundunda maana kimeshika mizizi kwa wananchi.Tatizo chadema hamtaki kutazama ukweli na kuona tatizo au matatizo yalivyo na kuyatafutuia njia za kuyarekebisha. Huwa mnabisha hata pasipo ubishi. Niambie ni lipi katika niliyoyataja hapo juu ambalo halijatokea.
Huo ni mtazano wako wa kiccm, chadema haitayumbishwa na chochote maana ni chama cha nguvu ya umma. chadema ni watanzania wote wenye upeo usijeukajindanganya chadema ni mbowe,slaa,zitto,mnyika nk. Chadema ni chama cha nguvu ya umma hakuna anayeweza kuua chadema kama kiongozi hatakama wataondoka viongozi wote waliopo sasa bado kitaendelea kundunda maana kimeshika mizizi kwa wananchi.