GE2025 Mpango wa Mbowe kwenda CHAUMMA umeshindikana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aende tu chauma akajilipe Ruzuku kama alivyokuwa anafanya CDM fedha anapewa na wafadhili mbalimbali wa nje na ndaji kisha anajifanya anakikopesha chama amepiga pesa sana.
 
Mbowe ana karama ya uongozi kuliko kina Lissu na genge lake
 
Atakuwa ni kiongozi wa Upinzani wa HOVYO kupata kutokea tangu 1992 tulivyoasisi vyama vingi nchini
 
Viongozi sio wengi!
 
Chadema itapambana na kila atakayekengeuka bila kuangalia sura ya mtu
Hata lissu akizingua tunaye,Si zama za kuabudu mtu tena.Tutakujaji kwa mwendo wako maana tumeachwa mdomo wazi sana na wale ambao hatukuwahu kudhani kama wanaweza kuweka ubinafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…