Mpango wa kuunganisha makumpuni ya wazawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango wa kuunganisha makumpuni ya wazawa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by rosemarie, Oct 11, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu nafikiria jinsi ambavyo tunaweza kuunganisha makampuni ya wazawa na kuyaweka kwenye database moja
  hii itasaidia pale ambapo serikali inatafuta kampuni za kufanya nayo biashara
  tukumbuke hizi fedha wanazolipwa makampuni ya kimataifa hasa ya kikenya na kichina ni zetu watanzania
  kwa kweli kitendo cha makampuni ya kigeni kuchukua 80% ya kazi hapa tanzania ni aibu kubwa
  hivi ni kweli hatuwezi au ni rushwa inatumika??
  makampuni yote ya wageni inabidi yafanye kazi chini ya wazwa,
  kama serikali ya ccm inabisha hilo tunawapa miaka 4 itawezeka!!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  anza na yellow page
   
 3. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mkuu hakika hiyo ni hoja ya muhimu sana, mm niko tayari kushiriki kwa namna yeyote ile andaa a good written paper then tuwatafute referees kama UDEC entrepreneurship center of UDSM, Chamber of commerce TTCIA, Nyerere foundation, e.t.c hayo ni mawazo yangu tu....
   
Loading...