Mkuu Mimi sipo hapa kuwapinga hao jamaa Mimi sayansi ya anga naipenda sana tena sana na napenda nione binadamu akipiga hatua ktk kuanzisha koroni ktk sayari nyengine,nachosema Mimi ni utayari wangu wa kwenda huko binafsi sikubali ila sipingi wengine wasiende wao waende tu.na wanapambana leo kesho kufanikisha ili kuwaprove wrong watu wengi wanaobeza unajua wajamaa wanawashwa maana almost kila kitu kipo sasa wanatafuta chenye challenge
ok hapo sawa ngoja kwanza waendeMkuu Mimi sipo hapa kuwapinga hao jamaa Mimi sayansi ya anga naipenda sana tena sana na napenda nione binadamu akipiga hatua ktk kuanzisha koroni ktk sayari nyengine,nachosema Mimi ni utayari wangu wa kwenda huko binafsi sikubali ila sipingi wengine wasiende wao waende tu.
Nakushangaa sana unahofia msosi.(4) Kule hakuna chakula
Wangekuepo tangu zamani tungekua bado tunavaa ngozi za wanyama,[emoji1787][emoji1787]wala hujakosea watakuambia una pepoooo
Sipati picha bila wazungu tungekua tunaishi maisha gan.halafu mzungu mshenzi sana kwenye vitu vizur ngoz nyeusi tulien kwanza ingekuwa majaribio ya chanjo hapo weeee namba moja
Sasa mtapumua kwa kutumia hewa gani??? Asilimia 96 ya hewa pale Mars ni Carbon dioxide