Mpango wa kuhujumu M4C na CHADEMA huu hapa - chukueni hatua..

hakuna aliyeijua siri ya mnala wa babeli na kama ilivyo Mungu amefanya akijuacho kuibua utoto huu wa uroho ndani ya CDM
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-

Updates za leo jumapili tarehe 02.09.2012

Baada ya taarifa hii kurushwa hapa na mpango mzima kuwekwa hadharani , Mwigulu ameingia kwenye mgogoro mkubwa wa kifamilia na amefikia hatua ya kuwafukuza watoto wa kike aliokuwa anakaa nao nyumbani kwake Basihaya kuwa kuna nyaraka za vikao hazionekani na anaamini kuwa waliotoa taarifa hizi ni pamoja na wao. Hawa ni wale aliowatoa kijijini kwake kwa hoja kuwa atawasaidia kusoma lakini akawa anawafanya kama wake zake pindi mkewe akiwa hayupo .

Mkewe Mwigulu ni Mchagga wa Machame.

Kitendo cha kuwafukuza kikazua mambo mengine makubwa kati yake na watoto hao yakaibuliwa kwani wamemweleza Mkewe ambaye alikuwa msimamizi wa sensa mkoa wa Dodoma kuhusiana na jinsi alivyokuwa akiwalazimisha kufanya nao ngono kipindi akiwa hayupo na hali nyumbani imechafuka .
Kuhusu nyaraka anazodai kuwa zimeondolewa nyumbani kwake ni pamoja na zile za vikao kama bajeti za chama na nyinginezo mbalimbali za vikao mbalimbali vya CC ya CCM , NI lini zitawekwa hadharani nafikiri ni suala la muda tuu.

Fusso mpaka sasa bado ipo Tabata Dampo , inasubirio nini haijajulikana bado, kijana wake aliyemvisha zile t.shirts yaani James naye wamegombana sana kama ilivyo kwa wale vijana watatu wa CDM ambao walikuwa na mpango wa kujiunga na CCM sasa anawaona kama ni mashushushu waliotumwa kwenda kumchimba kwani amewaeleza kuwa haiwezekani kiasi cha pesa alichowapa kiweze kuandikwa bila wao kushiriki katika kutoa taarifa kwani hilo walifanya na mtu mmoja mmoja .

Kwa leo naishia hapo.
mungu atawaumbua wote hawa !!
 
Kamwe watanzania hatutadanganyika tena,enough is enough,it is time for change and that time is now,ccm-chama cha mafisadi,the clock is ticking,beware u ccm royalists!
 
Kweli CCM wameishiwa nguvu sana,soon watalipa mara mbili kila watendacho, wametoa makanisa kafara ili nchi ilaanike vyema.Sasa wanafanya slandering.CDM inabidi iimwage live mwishowe patakuwa hakuna shida.kwani wakija na maneno mbofu mbofu .CDm wanawamaliza kwa kusema "Ni yalayele ya mfa maji CCM"

CCM pamoja na kuchoka wameleta watoto viherehere walio km machokoraa (mwigulu na Nape.)Kwei CCM ni" mad mana workshop"
 
Dawa ni hao watakaovaa hizo Tshirt tuwachukulie kama wamejifunga bomu na tuwagawane upuuz uishilie mbali. Hawa magamba tukiendelea kuwatizama hivi, tukiendelea kuwachekea hivi, watatuchokoa hadi machoni.
 
Leo tarehe 29.08.2012 niko hapa maeneo ya Lumumba Kariakoo , kuna rafiki yangu alinialika mlo wa mchana katika moja ya migahawa ya hapa Lumumba na kuwa kwangu hapa niomekutana na tukio ambalo nimeamua niliweke hadharani kabla halijatokea kwani naamini kabisa kuwa lengo la mpango huu ni kuendelea kutugawa taifa kwa misingi ya Ukabila jambo ambalo sikubaliani nalo kama ambavyo ninapinga kugawa watanzania kwa misingi ya udini .

Mwigulu Nchemba , juzi jumatatu amechapisha tisheti zenye maandishi ya M4C – na ameweka maana kwenye hizo tisheti ambazo bado hazijaanza kugawanywa kuwa ni Movement 4 Chagga na ameweka maandishi makubwa kuwa changia Movement 4 Chagga (M4C), Zipo na zitaanza kugawanywa muda wowote .

Zoezi hili linaendena sambamba na operation ya Mwigulu ya kwenda Igunga eti kuelezea nini kilitokea mahakamani kwa wana Igunga , ziara hii imepangwa kuanza siku ya Jumamosi kwani alikuwa anasubiria FUSSO waliyonunua kwa shilingi milioni arobaini na tisa (49,000,000) na kuitengeneza kama za CDM ikamilike na walinunua vifaa Mlimani City tayari tangu wiki iliyopita.

Lengo la kuweka hapa ni kuwajulisha CDM wajue kuwa kuna mipango hiyo tayari imepangwa na inaendelea kutekelezwa , chukueni hatua .Aidha kuna vijana wenu watatu majina leo nayahifadhi wanafanya vikao vingi sana na Mwigulu na wa mwisho alipofika kwake wiki iliyopita alipewa shilingi laki nane , mara ya kwanza alipewa shilingi milioni tatu na huyu ametangaza rasmi kuwa atajiunga na CCM wakati wowote – fuatilieni waliogombea Bavicha na kushindwa na hata mmoja aliweza kushinda ila anawahujumu nyie CDM.

Sikubaliani na mipango ya kuligawa taifa kwa misingi ya Udini na Ukabila hivyo nitaipinga sana hata kama mtanijua LIWALO NA LIWE.

NI MIMI MPIGA FILIMBI-

Updates za leo jumapili tarehe 02.09.2012

Baada ya taarifa hii kurushwa hapa na mpango mzima kuwekwa hadharani , Mwigulu ameingia kwenye mgogoro mkubwa wa kifamilia na amefikia hatua ya kuwafukuza watoto wa kike aliokuwa anakaa nao nyumbani kwake Basihaya kuwa kuna nyaraka za vikao hazionekani na anaamini kuwa waliotoa taarifa hizi ni pamoja na wao. Hawa ni wale aliowatoa kijijini kwake kwa hoja kuwa atawasaidia kusoma lakini akawa anawafanya kama wake zake pindi mkewe akiwa hayupo .

Mkewe Mwigulu ni Mchagga wa Machame.

Kitendo cha kuwafukuza kikazua mambo mengine makubwa kati yake na watoto hao yakaibuliwa kwani wamemweleza Mkewe ambaye alikuwa msimamizi wa sensa mkoa wa Dodoma kuhusiana na jinsi alivyokuwa akiwalazimisha kufanya nao ngono kipindi akiwa hayupo na hali nyumbani imechafuka .
Kuhusu nyaraka anazodai kuwa zimeondolewa nyumbani kwake ni pamoja na zile za vikao kama bajeti za chama na nyinginezo mbalimbali za vikao mbalimbali vya CC ya CCM , NI lini zitawekwa hadharani nafikiri ni suala la muda tuu.

Fusso mpaka sasa bado ipo Tabata Dampo , inasubirio nini haijajulikana bado, kijana wake aliyemvisha zile t.shirts yaani James naye wamegombana sana kama ilivyo kwa wale vijana watatu wa CDM ambao walikuwa na mpango wa kujiunga na CCM sasa anawaona kama ni mashushushu waliotumwa kwenda kumchimba kwani amewaeleza kuwa haiwezekani kiasi cha pesa alichowapa kiweze kuandikwa bila wao kushiriki katika kutoa taarifa kwani hilo walifanya na mtu mmoja mmoja .

Kwa leo naishia hapo.

nimetoa angalizo mapema majina yanazidi kuja! Kunauwezekano likapita panga la ajabu sana sisiem &cdm sasa walioshiriki wote na huu mpango! Tubuni,tubuni watu wameteseka,wanateseka na kilio chao kilichoambatana na DUA,MAOMBI NA KUFUNGA wakitarajia yale ambayo wameyakosa miaka mingi mngefanyika daraja la wao kutoka kwenye mateso, lakini imekua sivyo, narudia tubuni ninyi nyote mlioshiriki kwa kutokuwa waaminifu kwa wananchi, Mungu hataachia uovu wowote kuendelea na halh hii! Mtashuhudia hili wengi!
 
Back
Top Bottom