Mkuu hawana viwanda vya kuiweka kwenye mitungi..Hii gesi ya mtwara inafanya kazi gani
Ya mtwara haiwezi kuingizwa kwenye mitungi labda utumike mfumo wa mabomba kama ya maji hadi majumbani!Kuagiza wapi tena, kwani ya Mtwara haitoshi?
Ya Mtwara ni tofauti na hizi tunazotumia kwenye mitungi mkuu.Kuagiza wapi tena, kwani ya Mtwara haitoshi?
FafanuaYa Mtwara ni tofauti na hizi tunazotumia kwenye mitungi mkuu.
Ntwara