mpango wa Futari kwa Awamu Dubai tushauriane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mpango wa Futari kwa Awamu Dubai tushauriane

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Aug 13, 2011.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Kama mnavojua hapa Dubai kuna jengo lina Gorofa 170 sasa basi muda wa futari ukifika kwakuwa walioko gorofa ya 170 wao huchelewa kuona jua likizima hvo hvo huchelewa kufturu. Mpango upo hivi gora mpaka ya 50 muda wa kawaida 50 to 150 huchelewa dakika 2 and 50 to 170 huchelewa mpaka dakika 7 je? This ternable?↲
  Submited
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mwongozo ni machweo ya jua, hapo ni sahihi.
   
 3. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  du hapo pwa gama
   
Loading...