Tanga ina watu 250,000 na iko umbali wa karibu saa moja na nusu tu kutoka Dar; ina msongamano wa watu mara tatu pungufu kuliko Dar kwa kilomita ya mraba na ina ardhi yakutosha kabisa kuweza kuchukua karibu watu milioni moja! tell me kwanini watawala wetu hawaiendelezi Tanga?
Mtazamo wangu ni kuwa muandishi ameandika makala kwa kutumia hisia zaidi ya uthibitisho. Kama anavyowakosoa CCM kwa kujenga hoja ya madi huu bila ya kutupa uthibitisho wa vyanzo vya pesa n.k, ndivyo yeye alivyoshindwa kutupa uthibitisho wa kwa nini mradi huu haufai.
Ndugu zangu, lengo kubwa lisilosemwa la kujenga hilo jiji jipya la Kigamboni ni kukubali kuwa watawala wetu wa leo wameshindwa kuboresha na kujenga jiji la Dar la sasa. Ni kukubali kuwa kufanya jiji la Dar la sasa kuwa la kisasa kumewashinda sasa wanataka kujaribu eneo jipya wakiamini kuwa wataweza.
Nna mashaka mengi na hili hitimisho alilolifikia mwandishi kuwa lengo kubwa lisilosemwa ni kuwa watawala wameshindwa kuboresha jiji la Dar kwa hiyo wameamua kujaribu kwengine. Mwandishi amefikia hitimisho hilo kama nani? Mtaalamu wa mipango miji? Mwandishi aliyetumia vielelezo au ni maoni binafsi yasiyofungamana na nukuu za kitaalamu?
Tanga ina watu 250,000 na iko umbali wa karibu saa moja na nusu tu kutoka Dar; ina msongamano wa watu mara tatu pungufu kuliko Dar kwa kilomita ya mraba na ina ardhi yakutosha kabisa kuweza kuchukua karibu watu milioni moja! tell me kwanini watawala wetu hawaiendelezi Tanga?
Huu Mpango unafanana na ule Mpango wa Mvua za Thailand
Tanga ina watu 250,000 na iko umbali wa karibu saa moja na nusu tu kutoka Dar; ina msongamano wa watu mara tatu pungufu kuliko Dar kwa kilomita ya mraba na ina ardhi yakutosha kabisa kuweza kuchukua karibu watu milioni moja! tell me kwanini watawala wetu hawaiendelezi Tanga?
mkuu huu mpango una issues zake yes, but with all due respect nadhani you ahve missed a very important point... hii ni PPP na lions share ya expenses inaenda kwa private investors mkuuNa Wakati kuna malaki ya Wanafunzi wanasugua Makalio kwenye sakafu, Maelfu ya Wamama wanajifungulia Chini!