Nisaidie namba ya mnyamwezi na mimi ninamaigizo yangu wiki ijayo.
Kuna jamaa wa miaka 54 analilia penzi. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkikua mtaacha.
Wapenzi walioachana huwa wanapelekeana ujumbe kwa namna nyingi sana.Kazi kwelikweli....aya mambo ndo yaleyale ya WhatsApp status