fexcash
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 547
- 1,014
Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo tutaweka mipango yetu humo, siku hiyo mengi yawe surprise. Nawakilisha kwa vijana wote waliotayari.
Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo tutaweka mipango yetu humo, siku hiyo mengi yawe surprise. Nawakilisha kwa vijana wote waliotayari.