mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,068
- 637
mkwere akisoma hii post yako simo uchochezi huuNingekuwa na mamlaka ningeamuru Lindi iende visiwani
Hahaha, ikawekwe kiembe samakiNingekuwa na mamlaka ningeamuru Lindi iende visiwani
Mmmmh waha nao wapo vizur tatu/nne sio wengine Mara 11/3 au 2/16 hapa wanakua wanabahatishaBig up Kigoma
Mjini ni kwasababu pana watu mchanganyiko na wahamiajiat least Mjini Magharibi wameipaisha Zenji!