lovebitelol
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 964
- 972
Angalia idadi ya waliofanya mtianiPale namba moja na mbili wangekaa watu Fulani tusingelala humu. Hongera sana wana Njombe na Iringa, unlike the others, you Never brag.
Angalia idadi ya waliofanya mtianiPale namba moja na mbili wangekaa watu Fulani tusingelala humu. Hongera sana wana Njombe na Iringa, unlike the others, you Never brag.
Hawa waha wana nini lakini?? Umeme kwao shida ni mwendo wa kusomea vibatali enzi hizo kwa sasa mwendo wa solata lakini sasa kufaulu ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmmmh waha nao wapo vizur tatu/nne sio wengine Mara 11/3 au 2/16 hapa wanakua wanabahatisha
Hii sababu akiitoa Makonda anashambuliwa sana....Hapo kilimanjaro waliofanya mtiani walikua 28 elfu na ushee na ni mkoa wa pili wenye watainiwa wengi ila ipo nafasi ya tano. Ni maajabu sana. Kilimanjaro watu wanasoma sana
Mkuu Hizo ni chuki sasa,,, Mimi ni Mwenyeji wa huku... Iringa na Njombe si Mara ya Kwanza, angalia iringa hata mwaka 2015 ,Hii sababu akiitoa Makonda anashambuliwa sana....
Njombe na Iringa hata kwenye maambukizi ya ukimwi sababu hiyo pia huwafanya waongoze lakini hawana cha ajabu sana kwenye elimu, mwenyeji wa huko anajua hilo
Nadhani hujaelewa nilichomaanisha....Mkuu Hizo ni chuki sasa,,, Iringa na Njombe si Mara ya Kwanza, angalia hata mwaka 2015 ,
Hata hivyo iringa ni Kitovu cha elimu, we don't brag like you do. Tunajiweza class na tumefanya maendeleo kwetu hata bila government backup.
Japo simaanishi kushindana but ukweli ni kuwa Iringa mjini pana Vyuo vikuu vitatu na vyuo vingine kadhaa na shule za Secondary za Binafsi na serikali za Kutosha. Hili sio la kubeza.. Wengi humu wamesoma iringa !
Kwenye huu Uzi umeona comment ya Mwana Njombe au Iringa akijigamba na Kudharau mikoa iliyoshindwa kufanya vizuri??Hii sababu akiitoa Makonda anashambuliwa sana....
Njombe na Iringa hata kwenye maambukizi ya ukimwi sababu hiyo pia huwafanya waongoze lakini hawana cha ajabu sana kwenye elimu, mwenyeji wa huko anajua hilo
Ndivyo tulivyo na nilikuwa namkejeli niliyemnukuu aliyejaribu kuwabeza Njombe na Iringa kwa kutumia idadi ya watahiniwa wa Kilimanjaro...Kwenye huu Uzi umeona comment ya Mwana Njombe au Iringa akijigamba na Kudharau mikoa iliyoshindwa kufanya vizuri??
Absolutely NO,
Hivi ndivyo tunatakiwa tuishi.
OK, nimekupata mkuu!Ndivyo tulivyo na nilikuwa namkejeli niliyemnukuu aliyejaribu kuwabeza Njombe na Iringa kwa kutumia idadi ya watahiniwa wa Kilimanjaro...
Nikafananisha na data za UKIMWI kumpamba maana ni nyimbo tunazoimbiwa kuwa kuna wasio bora kwa kila kitu wakiwa bora magoli yanahamishwa
PamojamkuuOK, nimekupata mkuu!
kote huko ni Tanzania inayoongozwa na CCM. kama kuna lawama za imbalance zote ni kwa CCM!
OK.. Keep you cccm (or whatever u call it),kote huko ni Tanzania inayoongozwa na CCM. kama kuna lawama za imbalance zote ni kwa CCM!
do we say it more?
Mkuu ongeza na Arusha na Manyara...Hapo kilimanjaro waliofanya mtiani walikua 28 elfu na ushee na ni mkoa wa pili wenye watainiwa wengi ila ipo nafasi ya tano. Ni maajabu sana. Kilimanjaro watu wanasoma sana
Mbona mna argue like wimps,Kilimanjaro na Arusha ndio Mikoa Pekee yenye watahiniwa wengi...ina maana mikoa ya Kaskazini swala la Elimu wamelipa kipaumbele..