Mkuu kama hii sio Chai,ni kweli bas umewavumilia sana..miaka miwili ni mingi mnooKaka hakuna haja, hujawaleta town na wala hawakukushirikisha wakati wanaongeza famiia....cha msingi walipe tu na kama hawawezi basi wachomoke fasta kabla ya 30th Nov, bado siku 15 tu toka leo..siku za kuwa mstraabu zishaisha.
Km maisha yamewashinda wahame tu, kila mtu aishi kadiri ya uwezo wake, kwani lazma waishi humo? Yaani nitoe msaada ilhali nanyongea, haiwezekanikaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.

Hapo unapigwa mkuukaka pango ni Sh 300,000 kwa mwezi, kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 kwa miaka miwili ni 7.2m. ni hela nyingi sana wakuu.
Huyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.
Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.
Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.
Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.
Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
Ningekuwa mimi ninge mdai huyo mtoto wao wa kike coz hata kosa cha kunilipa hata kama sio pesaHuyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.
Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.
Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.
Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.
Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
Wavumilie tu Ndugu, ipo siku watakuwa vizuri watakulipa, haya matatizo yote yamesababishwa na serikali ya ccm, sijui nyie wengine kama mnajua kwamba maisha hivi sasa ni utata, nami nawaombea.Huyu mpangaji wangu nimemvumilia sana, ni mwaka wa pili sasa anasema mambo yake hayako vizuri, nikienda kumdai kodi yeye na mkewe wanalia sana kwamba nizidi kuwavumilia.
Kuna binti yao yupo form four huyo naye anajiunga nao kunililia anasema baba tusaidie tu babaa tutakulipa huku kanipigia magoti kushika viatu vyangu na suruali.
Imefikia hatua mke wa jamaa ananiandikia sms kuniomba niendelee niwavumilia, hata binti naye anaandikia sms kunipa shikamoo na kuniambia baba naomba tuvumilie tu maana baba yangu hana hela kabisa hata mimi nasoma kwa shida sana babangu.
Anapofanyia kazi huyo jamaa napajua na anapofanyia kazi huyo mkewe napajua ila siwezi kuwaambia sababu ya kulinda maudhui ya hapa JF.
Nipeni ushauri ila mimi naona ni kuwatimua tu tarehe 30th November hii, kifupi kila mtu atabeba sanduku lake mwenyewe na hapa mjini kila mtu kaja kivyake.
Mkuu cha muhimu kuhamua tunotice nyingi tu nishaandika, ikifika siku ya kuwatoa wanatoa machozi.
mkuu wewe ni muumini wa biblia sio??kaka nishapiga mikwara saana, cha msingi tupishane na wakishindwa kitakachofuata ni kupiga vitu mnada - Notice tayari nishawapa inaisha 30th Nov Siku ya timbwili.. Maana ni kwenda mahakanani kuikazia notice na kuomba tupige mnada vitu kufidia kodi.
Ushauri tu kwa wasomaji wangu - Maisha yakibadilika na wewe badilika; ishi kutokana na kipato chako cha wakati huo.. kutoka kwenye nyumba ya vyumba vitatu Sinza na kwenda Magomeni chumba kimoja watoto kulala sebureni si dhambi.
Sasa jamaa wengi wanataka ku-maintain status wakati mambo yameshavurugika..sasa haya ndiyo matatizo yake.
Hatuna baba,alisikika binti wa form four huku kapiga magoti na nguo zake za shuleWaambie wakulipe kodi ya mwezi mmoja tu ili kupungunguza deni, tuone watasemaje