Watu washachoka maisha haya,aaarrghh!
nimeshangaa kuwaona maafisa wa NHC wakija na vyombo vya habari,ina maana walikuja kumdhalilisha na sio kufanya kazi yao.next time watakula za vifua!
alikuwa mhindi nini?1
Nakubaliana nawe kwa asimilia mia moja.hao jamaa wa NHC walitaka kumdhalilisha huyo mzee wa watu,kitu cha kwanza wamemfata jeshi la watu kibao,pili hilo deni cdhani kama linaendana na gharama walizotumia kuwakodi hao madalali na hiyo timu ya watu,waandishi wa habari humo humo,na mwisho wakaenda kumletea kituo kizima cha polisi na defender 2,thats not fair kwakweli,kuna kitu hapo c bure