Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,972 Reaction score 13,430 Oct 17, 2013 Thread starter #121 Mkempia said: Wadada wa karne hii mbona mna kazi kubwa sana ya kufanya utafiti wa wachumba zenu kabla hamjaolewa?? Click to expand... wachumba mbona tuko poa tu. Nalog off
Mkempia said: Wadada wa karne hii mbona mna kazi kubwa sana ya kufanya utafiti wa wachumba zenu kabla hamjaolewa?? Click to expand... wachumba mbona tuko poa tu. Nalog off
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,972 Reaction score 13,430 Oct 17, 2013 Thread starter #122 Sista said: Mkempia tunajitahidi ila inaonekana hawa jamaa wanatuzidi mipango. (Wachumba hata watatu Tunawekewa zamu bila kujijua) Click to expand... Na kamwe huwezi kujua labda atokee mtu wa sampuli hii ya mpangaji mwenzangu. Nalog off
Sista said: Mkempia tunajitahidi ila inaonekana hawa jamaa wanatuzidi mipango. (Wachumba hata watatu Tunawekewa zamu bila kujijua) Click to expand... Na kamwe huwezi kujua labda atokee mtu wa sampuli hii ya mpangaji mwenzangu. Nalog off
PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,294 Oct 18, 2013 #123 Washawasha said: usinitukane nionee huruma Joyce kakasirika.Nalog off Click to expand... ikiwezekana akukodie al shababu wakufanye mambo, umalaya ukuishe
Washawasha said: usinitukane nionee huruma Joyce kakasirika.Nalog off Click to expand... ikiwezekana akukodie al shababu wakufanye mambo, umalaya ukuishe
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,972 Reaction score 13,430 Oct 18, 2013 Thread starter #124 PesaNdogo said: ikiwezekana akukodie al shababu wakufanye mambo, umalaya ukuishe Click to expand... he!Alshabab si watani westgate shopping? Nalog off
PesaNdogo said: ikiwezekana akukodie al shababu wakufanye mambo, umalaya ukuishe Click to expand... he!Alshabab si watani westgate shopping? Nalog off