Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
- Thread starter
-
- #101
hakuna nilichopindisha mkuu nimenyoosha maelezo ila huyu jamaa nadhani ana lake moyoni.Huyo jamaa nae kimeo, ina maana mmekula na kunywa wote pamoja kashindwa hata kumshika sura huyo mchumba wako??? hainiingii akilin nadhan kuna kitu unapindisha hapa mkuuu.....!!!
labda hili ndilo litalokuwa suluhisho.Ukiwa kicheche usipende kuleta mademu sehemu unapoishi
nataka niwaoe wote wawili.wote wanini hao...?
ni kweli kaka.player mzuri hujua namna ya kukwepa mafumanizi na mashtukizo ya matukio kwenye harakati zako,,,,,,,,,,
hawa ninao kwa muda mrefu sana kwahiyo inaniwia vigumu kumwacha mmoja na kubaki na mwengine.ivi wanaume ndo mnakua mnalalamika kua wachumba wenu si waaminifu?
Washawasha una washwa nini hadi unapata muwashawasha wa kuchumbia wasichana wawili?
utaoa wote?
ukioa ukaendelea na tabia hiyo tego na dawa za kunasiana zitakuhusu wewe
alichonifanyia ni kitu kibaya kwahiyo inabidi alipe tu.keshafanyiwa tayari huyo,mfa maji
ngoja nichague kimoja kati ya hivi vitatu.Hata ukilitia shubiri pia sio mbaya!!!
hawa ninao kwa muda mrefu sana kwahiyo inaniwia vigumu kumwacha mmoja na kubaki na mwengine.
Nalog off
ikinitokea puani itanibidi nikutafute ili uniliwaze.ikikutokea puani utalog of mazima..
ikinitokea puani itanibidi nikutafute ili uniliwaze.
Nalog off
hapana bi dada,kati yetu hakuna mwenye ngoma wote sie ni wasafi hakuna wa kumuogopa mwenziwe.Halafu huyu mpangaji ni mwanaume mwenzangu kwahiyo sijamla.Nalog offHii ni tabia ya ki-malaya
nakushauri nenda kapime damu kubwa. Halafu chagua mmoja anatosha.
nawachukia watu aina yako mnapingana na sera za serikali za kupinga
kueneza maambukizi ya ukimwi.
Umemgegeda mpangaji mwenzako ulitegemea ana roho ya chuma asione wivu
kwa demu mwingine?
acha uasherati ndugu.
nataka niwaoe wote wawili.
Nalog off
hapana bi dada,kati yetu hakuna mwenye ngoma wote sie ni wasafi hakuna wa kumuogopa mwenziwe.Halafu huyu mpangaji ni mwanaume mwenzangu kwahiyo sijamla.Nalog off
Mkempia tunajitahidi ila inaonekana hawa jamaa wanatuzidi mipango. (Wachumba hata watatu Tunawekewa zamu bila kujijua)Wadada wa karne hii mbona mna kazi kubwa sana ya kufanya utafiti wa wachumba zenu kabla hamjaolewa??
Ukiwa kicheche usipende kuleta mademu sehemu unapoishi
Dah! Asha kuna idara fulani hivi yuko safi sana.Kama ni mwanaume basi anakuonea gere, ila mpunguze Asha:A S 39: