Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

Hata mm ni muhanga, za dukani yan mpya hazina hisia... naamini anamaanisha zilizovaliwa....yan unaipimia unajenga picha ya papuchi yake kichwani, unatamani ukamgongee mlango[emoji12] [emoji39]
Kama ulikuwepo mkuu, mimi huna nazinusa za waifu, huwa zinanipa mzuka balaa.
 
Chupi tu ndio ukutwe na yote hayo. Na itakuwa ameshakujua ndio mana anakazi ya kuzianika na huenda kuwa hata sizo anazozivaa ila hizo anakuanikia wewe ili uzidi kuumia.
 
Nikiona Chupi natafakari kuwa ndio layer ya Mwisho kabla ya
Kufikia Madini asili!
 
Sio kidogo, hawa wavulana wana hatari kubwa sana.....
Kabisa mana haya mambo yapo na huwa ni jambo la kawaida ila huyu kulifanya ni la ajabu inasikitisha kwa kweli.

Ila msipoangalia wanaume ndio mnamalizika na huko tunakoelekea sijui itakuwaje.
 
Yaani hata mm kwa kweli cpendi kuona kyupi za hawa watu jamani...nikiziona tuu mimi hooooi...Kuna wakati nilikua tempo school moja ya girls wakati wa zamu nilikua siendi kwenyw mabweni yao nisije nikaingiwa na pepo mbaya!! Nashukuru nilitoka pale salama kwa uwezo wa Roho wa Mungu...msipende kuanika kyupi hadharani wadada wapendwa wa humuu...
 
69690_497290626976842_1759487014_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SDG
unataka waanike ndani wapate fungus fungeni macho mkifika kwenye kamba hamuishi matatizo?
 
Jifunze jinsi ya kuushinda moyo wako @ Kaka! Je angeanika mama dada/binti/ndugu yako napo ungeanza kumtamani? Nenda Kwa Kiongozi wa dini wako au mwana Saikolojia atakusaidia na kukusaidia ili uweze kubadili mtazamo wako! Changamoto iko kwenye ufahamu na mitazamo yako na aina ya Watu au makundi yaliyo karibu yako! Tunapaswa kujifunza kila Siku tupatapo fursa! Mimi huwa namshangaa Sana mwanaume anaetegwa halafu akategeka! Kwa nini usistukie kuwa Mtu pengine Ni fake kitabia?
 
Kumbe tupo wengi, yaani hii tabia wanawake waiache jamani, mi kuna mdada hadi ikabidi ni mfesi tu maana nilishindwa kuvumilia hali, uzuri wake alinielewa akaacha kuanika vitu vyake vya ndani nje
 
Ila wanawake wengine nao wanakosa staha jamani, hivi Mtu huoni haya kuanika Nguo za ndani kwenye macho ya Watu? Sawa kiafya inabidi kuanika nje zipate jua lakini Kwa nini basi usifunike Na kanga juu Yake ? Au ufunge Kamba uwani ambako Watu wengine hawapiti? Mimi naona Ni tabia mbaya ya kihuni kuanika Nguo za ndani hadharani ! Au kuona wanawake wanaovaa Nguo fupi zilizojuu ya magoti sihitaji kujiridhisha zaidi moja Kwa moja Najua Ni Mwenye tabia za kihuni! Au me anaevaa mlege hivyo hivyo!
 
Chupi sharti ianikwe nje kwenye jua ili ikauke

Kama unaanika ndani kwenye misumari utaishia kupata tetanus au kunuka uvundo.

Shauri yako, mimi naanika boxer nje wala sijali ila ndio nimezoea kwetu tangia nikiwa mtoto tunaanika nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom