Mpambe wa Rais Magufuli abadilishwe

Huyo ni mpambe tu ila ulinzi wa Jmp upo umetulia kabisa na unafanyakazi kulingana na mazingira .....intellegencia iliyopo hapo ni kali zaidi unavyofikiri
 
Kuhusu issue ya mwavuli, ukiangakia vizuri utaona kuwa ADC wa Mh. RAIS naye mkono wake wa kulia umenyanyua kitu (I assume to be Mwavuli). Yawezekana kuna miavuli miwili na wewe umeangalia picha ambayo imepigwa upande wa jamaa wa Uganda.
 
Hivi ADC anahusika na masuala ya ulinzi wa Rais hadi useme lolote litakalotokea kwake huyu bwana atawajibishwa?
 
We Bure kabisa ulitaka akaimbe kwaya na uniform za jeshi, ulitaka naye apige ngoma akiwa na uniform?? Kwa Uganda yule aliye shika mwavuli ni lt col kwa itifaki za kijeshi Col hawezi shika mwavuli wakati kuna lt col. Kwanza Yeye sio kazi ya kushika mwavuli. Angalia hata kwenye parade za kitaifa wakati kuna mvua washika mwavuli ni tofauti kabisa na mpambe.
 
Pole Sana Ndugu. Nafikiri Ulijibu Kitu Ambacho Hukijui Na Baada Ya Kukutana Na Majibu Yaloshiba Unakimbia Kwa Namna Yako.

Ulijibu "ADC Hausiki Na Ulinzi)
Mimi Sina Nia Ya Kuleta Mjadala Wewe Ndio Unauleta. Kama Ungekuwa Mwelevu Ungejibu Kifupi Tu Kwmb "Nimeelewa Au Nashukuru" Sasa Shida Yako Ni Kwmb Hutaki Kuonekana Kwmb Umekosea So Unatengeneza Excuse. Kwani Ukikiri Umekose Huwa Unaumia Sana Eeh?!, Basi Pole Ndugu Natumai Umenielewa.
 
NDIO NINI SASA HII?? Huyu jamaa mbona mnamsumbua hivi???

Au kuna mtu anataka hicho kichaka[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]

Keep on mkeremi.
 

mmmmmh, kwani tunashindana humu JF? I don't think so, kwanini ning'ang'anie kuwa mimi ndiyo naelewa zaidi au naathirika vipi ikiwa nitakuwa nimekosea? Kama mtu umekosea si unasema tu kuwa umekosea? Kwanini mtu uumie kama umekosea? Nadhani tunatofautiana humu JF...ok nashukuru...thanks, kwa maelezo yako, kazi njema.
 
Nilishawahi kusema humu ndani kwamba WaTz tumekuwa watu wa ovyo sana! Mtu akiweza kumiliki ka screen touch ka TECNO na akijua kuandika basi anadhani ni expert kwenye kila kitu. Sasa wewe unayesema mpambe abadilishwe kwa kuwa Mganda aneshika mwamvuli unajua hata aliyemchagua ni nani? Na kwa nini amechaguliwa na kwa vigezo gani? Na kazi zake ni zipi? Unajua nini kuhusu usalama na itifaki za raisi? Bora mwezi wa sita umekaribia hizi TECNO zizimwe tu server ya JF isijazwe na upuuzi! Aaagr.....
 
Watu mmemkomalia huyo ADC kuwa abadilishwe,akibadilishwa tunafaidika nn sijui, hayo mambo ya ulinzi na usalama tuwaachie wenye fani yao,,,,,kwanza huyo ADC kiukweli yupo fiti kuliko maelezo,
 
[emoji122] [emoji122] [emoji120] [emoji106] fair play.
 
Hicho ndio kilichopo yule anafanya ulinzi katika nafas yake
 

An aide-de-camp is a personal assistant or secretary to a person of high rank, usually a senior military, police or government officer, a member of a royal family, or a head of state. This is not to be confused with an adjutant, who is the senior administrator of a military unit. The first aide-de-camp is typically the foremost personal aide.

Hakuna ADC wa kiraia wala afisa wa cheo cha chini kijeshi
 
Huyo ni commissioned officer siyo gazetted officer TPDF wanapewa kamisheni baada ya kuhudhuria mafunzo ya afisa mwanafunzi. Pamoja na kwamba ni mpambe wa Rais anashirikiana pia na walinzi wa Rais kiusalama. Ni kweli kwamba Rais akiwa nchi nyingine mpambe wake anakuwa ni wa nchi hiyo kwa sababu nyingi ikiwemo za protocol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…