KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,354
Wakuu mimi ni born village ila nimekulia kote mjini na vijijini naomba leo tupambanishe maisha haya mimi nitakuwa wa kijijini wamjini mjitokeze na pia wengine wa vijijini karibu mnisaidie kutetea maisha kijijini...!
Sifa za maisha ya kijiijini
Hatuna foleni
Hatulipii choo cha umma
Chakula bwerere ,
matunda, mahindi ya kuchoma, miwa, pombe kama ulanzi, marwa, mbege, gongo na bangi hatuna wa kutubugudhi na vinywaji vyetu.
Maziwa.
Mademu hatuwahongi mnapendana tu bila pesa.
Leta unayojua.., na watu wa mjini tunawangoja hapa tupambane maana tumekaa mjini tunajua kero zenu, mkidanganya sisi na nyie..